Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Mara kadha wa kadha watu walitaadharisha wanaotaka kumpindua Mbowe uenyekiti Chadema.
Sasa mambo yametimia sasa kata funua hiyo kuwakumba hadi baadhi ya wabunge,viongozi waandamizi na wale waliokuwa wakimpigia Tundu Lissu chapuo la uenyekiti na nafasi ya kugombea urais bila ruksa ya "kamanda wa anga"
Kazi imeanza mara baada ya kuachiwa kutoka mahabusu,baadhi ya wafuasi wa Chadema wamekemewa kama watoto wadogo hakika "mkono wa chuma" sasa hautawaacha.
"Chadema ina mwenyewe na mwenyewe ni..................."
Sent using Jamii Forums mobile app