wakatanta
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 2,594
- 3,158
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya mada"Sielewi mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu ilitumia kifungu gani cha sheria kuwataka washtakiwa kuripoti polisi kila wiki, kwa sababu shauri likishafika mahakamani haliwezi tena kurudi polisi kabla halijafanyiwa maamuzi. Ni dhahiri kuwafutia dhamana kulijenga hisia kuwa mahakama ilishindwa kufanya kazi yake inavyopasa. Na hii ni aibu. Kungekuwa na maneno mengine ya kisheria ya kuelezea hali hiyo ningeyatumia lakini niseme ni aibu" - Jaji Sam Rumanyika,
Ndugu zangu,
Mara kadha wa kadha watu walitaadharisha wanaotaka kumpindua Mbowe uenyekiti Chadema.
Sasa mambo yametimia sasa kata funua hiyo kuwakumba hadi baadhi ya wabunge,viongozi waandamizi na wale waliokuwa wakimpigia Tundu Lissu chapuo la uenyekiti na nafasi ya kugombea urais bila ruksa ya "kamanda wa anga"
Kazi imeanza mara baada ya kuachiwa kutoka mahabusu,baadhi ya wafuasi wa Chadema wamekemewa kama watoto wadogo hakika "mkono wa chuma" sasa hautawaacha.
"Chadema ina mwenyewe na mwenyewe ni..................."
Sent using Jamii Forums mobile app

Propaganda za kike peleka lumumba fisad limerudi nyumban nenda kalisherehekee.Ndugu zangu,
Mara kadha wa kadha watu walitaadharisha wanaotaka kumpindua Mbowe uenyekiti Chadema.
Sasa mambo yametimia sasa kata funua hiyo kuwakumba hadi baadhi ya wabunge,viongozi waandamizi na wale waliokuwa wakimpigia Tundu Lissu chapuo la uenyekiti na nafasi ya kugombea urais bila ruksa ya "kamanda wa anga"
Kazi imeanza mara baada ya kuachiwa kutoka mahabusu,baadhi ya wafuasi wa Chadema wamekemewa kama watoto wadogo hakika "mkono wa chuma" sasa hautawaacha.
"Chadema ina mwenyewe na mwenyewe ni..................."
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda tulia dawa iingiePropaganda za kike peleka lumumba fisad limerudi nyumban nenda kalisherehekee.
Magufuli hakuwa Mwenyekiti wakati anagombea, mwaka 2005 Mbowe akiwa Mwenyekiti alikuwa mgombea.Mkuu mimi sina chama lakini nielewavyo ni kuwa kwa ccm ni lazima mgombea uraisi awe mwenyekiti wa chama, lakini kwa upande wa chadema sijasikia kuwa mgombea uraisi lazima awe mwenyekiti wa chama. Mkuu kwa hiyo wewe ni muongo umetoa stori kwa kuangalia muktadha wa ccm. Mkuu hangaikeni kujibu tuhuma alizo zitoa Lisu tutawaelewa toeni majibu.
LowassaNdugu zangu,
Mara kadha wa kadha watu walitaadharisha wanaotaka kumpindua Mbowe uenyekiti Chadema.
Sasa mambo yametimia sasa kata funua hiyo kuwakumba hadi baadhi ya wabunge,viongozi waandamizi na wale waliokuwa wakimpigia Tundu Lissu chapuo la uenyekiti na nafasi ya kugombea urais bila ruksa ya "kamanda wa anga"
Kazi imeanza mara baada ya kuachiwa kutoka mahabusu,baadhi ya wafuasi wa Chadema wamekemewa kama watoto wadogo hakika "mkono wa chuma" sasa hautawaacha.
"Chadema ina mwenyewe na mwenyewe ni..................."
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe una mada gani hapo ?! Wewe kweli ulipewa kazi kuwakoga Cdm lakini uwezo zero .
Kamanda ukweli haupingwi kwa kejeliSasa wewe una mada gani hapo ?! Wewe kweli ulipewa kazi kuwakoga Cdm lakini uwezo zero .
Sent using Jamii Forums mobile app
kama huu upuuzi umeandikwa na mtu mwenye cheo cha uwaziriKaweka bandiko JF kumhusu Mbowe😀😀