Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Mmesha anza chokochokoNdugu zangu,
Mara kadha wa kadha watu walitaadharisha wanaotaka kumpindua Mbowe uenyekiti Chadema.
Sasa mambo yametimia sasa kata funua hiyo kuwakumba hadi baadhi ya wabunge,viongozi waandamizi na wale waliokuwa wakimpigia Tundu Lissu chapuo la uenyekiti na nafasi ya kugombea urais bila ruksa ya "kamanda wa anga"
Kazi imeanza mara baada ya kuachiwa kutoka mahabusu,baadhi ya wafuasi wa Chadema wamekemewa kama watoto wadogo hakika "mkono wa chuma" sasa hautawaacha.
"Chadema ina mwenyewe na mwenyewe ni..................."
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ulikuwepo kwenye kikao cha leo nini??Kaweka bandiko JF kumhusu Mbowe😀😀
Ndugu zangu,
Mara kadha wa kadha watu walitaadharisha wanaotaka kumpindua Mbowe uenyekiti Chadema.
Sasa mambo yametimia sasa kata funua hiyo kuwakumba hadi baadhi ya wabunge,viongozi waandamizi na wale waliokuwa wakimpigia Tundu Lissu chapuo la uenyekiti na nafasi ya kugombea urais bila ruksa ya "kamanda wa anga"
Kazi imeanza mara baada ya kuachiwa kutoka mahabusu,baadhi ya wafuasi wa Chadema wamekemewa kama watoto wadogo hakika "mkono wa chuma" sasa hautawaacha.
"Chadema ina mwenyewe na mwenyewe ni..................."
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hueleweki?Ndugu zangu,

Hilo ndilo nilitaka kulisema baada ya kusoma tuu thread na kuona mleta mada.Naibu Waziri....I see
Acha kulialia,upo upande wa Tundu au?Hilo ndilo nilitaka kulisema baada ya kusoma tuu thread na kuona mleta mada.
Halafu nchi ikikwama kuendelea tunwtafuta mchawi wakati tuna viongozi bogus wa aina hii ya majungu, uzandiki na ufitini?
Mtu tunamlipa fedha za kutosha, Nyumba na marupurupu kibao na heshima kubwa lakini maneno na vitendo hana tofauti na Ambaruti au Dudubaya?
Acha tuwasikie tuu Kenya wakisonga mbele na sie tukisotea makalio chini. Kanuni za JF ndio zinalinda majina ya watu kuyaweka hadharani vinginevyo tungewavua nguo hivi vi short chassis hadi basi
Sent using Jamii Forums mobile app