Tetesi: Mbowe kufanya kata funua CHADEMA. Apanga Kuwaita wabunge na wafuasi wa Lissu

Nje ya mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 

FAKE NEWS!!! shame on you. hilooo!!!
 

Mkuu mimi sina chama lakini nielewavyo ni kuwa kwa ccm ni lazima mgombea uraisi awe mwenyekiti wa chama, lakini kwa upande wa chadema sijasikia kuwa mgombea uraisi lazima awe mwenyekiti wa chama. Mkuu kwa hiyo wewe ni muongo umetoa stori kwa kuangalia muktadha wa ccm. Mkuu hangaikeni kujibu tuhuma alizo zitoa Lisu tutawaelewa toeni majibu.
 
Propaganda za kike peleka lumumba fisad limerudi nyumban nenda kalisherehekee.
 
Magufuli hakuwa Mwenyekiti wakati anagombea, mwaka 2005 Mbowe akiwa Mwenyekiti alikuwa mgombea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lowassa
 
Huo upuuzi wako wapelekee watoto wa chekechea au watu wenye akili kama zako ambao hupatikana Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…