Tetesi: Mbowe kufanya kata funua CHADEMA. Apanga Kuwaita wabunge na wafuasi wa Lissu

Mataga wa kijani mmeishiwa kweli ,kwa huu upuuzi ulioandika utalipwa kabisa buku saba zako .
 

mtei
 
I see

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • tapatalk_1549615604087.jpeg
    20 KB · Views: 19
  • tapatalk_1551347129941.jpeg
    77.6 KB · Views: 15
Sijui kama wana mpagangiaga hata kazi za kufanya kwa kuhofia weredi wake
Mbaya zaidi, pale kwao musoma nyakato, nyumba hazieleweki! Ni za zamani, aje walau afanye maintenance! Mzee wake analalamika hamtumii hela za matumizi nyumbani
 
Hizi ni dalili za kuvimbiwa maji ya bendera.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Hii ni zaidi ya tetesi, kwakuwa hata tetesi zina source! Kitu ambacho watanzania tunatakiwa kupongezwa sio tu kupenda ujinga, bali hata wajinga wenyewe huwa tunakuwa na interest nao.
Sio jambo la kushangaza ukaona mtu aliyekuwa anapita amesimama kumwangalia mwendawazimu anachofanya au anachosema wakati anajua huyo ni mwendawazimu!
 
Mbona unahasira hivyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana kuna bandiko toka wadau wa chadema wakidai angeongea na vyombo vya habari yeye na matiko.
Vipi walisemaje kwwnye hiyo press?
 
Umerudi lini kutoka monduli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…