Uchaguzi 2020 Mbowe kugombea urais 2020 kupitia CHADEMA?

😂😂😂😂😂😂

Kwa mwaka huu, atayejaribu kushindana na Magu Kwa mwaka huu, haki ya Nani nasema, hata therusi ya wapiga Kura wote hatafikisha
 
Huyu ndie anaeyafaa na atatimkisa magufuli. Chadema wampitishe fasta. Makamanda tumieni akili huyu lazima ashinde.
 
chadema hawamu hii hawana mtu wa kumshimamisha labda lissuu asingepata matatizo huu ndo ingekuwa muda wake

nchi haiyakiwi kishid
kwa na wakemia wala mabiologiest
inchi inatakiwa ishikwe na watu wa uchumi,communiy deveopment na law
 
Binafsi ninaamini kuwa, uchaguzi ukifanyika kwa haki na kwa uhuru kati ya Mh. Mbowe na magufuli, HAKIKA itakuwa shida sana kwa magufuli, maana anaweza kuzomewa vibaya sana katika kampeni achilia mbali kushinda. magu hawezi kufikisha 30% asilani. Ni maoni tu
 
Wasipomuweka mtu kama lisu wategemee maumivu, mbowe hata 20% ya kura hatochukua, watanzania wengi sana hawamuamini hata walio CDM wenyewe.
 
Wazee wa fitna na upikaji wa majungu - kweli nimeamini kwamba hii sasa ni kazi kama zilivyo kazi nyingine za maofisini na viwandani.
 
It is rubbish thinking. Siasa hazipo hivi Kama unavyofikiria wewe.Siasa Ni sayansi ambayo Huezi kuitabiri kirahis hivyo.
Hiv uliweza kutabiri Km CCM mwaka 2015 wangemsimamisha mh Magufuli?

Km ilikuwa surprise Katika siasa je wananchi waliipokeaje surprise hiyo. Alikubalika au hakukubalika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…