mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni wataalamu wa kutafuta majalalanihabari hiyo umeokota wapi ?
Kaamua atafute kichaka cha kujifichia ili asingizie kaibiwa kuraAmeogopa kule marangu wamemchoka !
Hata hao Chadema wanajua Mbowe hana sifa za kugombea urais usiku na mchana wanataka CCM iwape mgombeahabari hiyo umeokota wapi ?
Huyu ndie anaeyafaa na atatimkisa magufuli. Chadema wampitishe fasta. Makamanda tumieni akili huyu lazima ashinde.Habari wanaJF
Itakapofika October 2020 nchi itajihusisha na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
kwa upande wa CCM kama katiba yao unavyojinadi kwamba Magufuli atapewa nafasi bila kupingwa ndani ya chama ili aweze kumalizia muhula wake wa hali ngumu kwa watanzania wote, gharama kubwa za maisha, hakuna ongezeko la mishahara, kuwacha watu wajifie na covid19 na kuua democray pia uvunjifu wa haki za binadamu
Kitendawili kipo vyama vya upinzani, wao wanapambana vilivyo kuhakikisha wanaiangusha serikali ya ccm
Je upinzani wamejipanga vipi katika kusimamisha mgombea wa urais?
Je umoja wao kama ukawa upo awamu hii
Kwa upande wa CHADEMA teyari watu werevu tumekwishaanza kuona uoelekeo wa nani atasimama kuwania nafasi ya urais hapa nchini
kwa sasa CHADEMA kimejipanga na Freeman Mbowe ndiye atakayepeperusha bendera ya chama
Hii haitakuwa mara ya kwanza kwa kiongozi huyu kuwania kiti cha urais hapa nchini, itakumbukwa pia 2005 aliwahi kufanya hivyo kupitia chadema na akashindwa vibaya
Kwa sasa Mbowe amejifanya kuchukua hatua mbalimbali kuonesha uwezo wake kwa watanzania, ikiwemo kuhakikisha anapangua hoja zote zinazotolewa na rais Magufuli
Je Mbowe ataweza kumtikisa Magufuli?
Nafasi ya mgombea kupitia chadema ngazi ya urais haijaangaliwa ndio wataamua bora liende tu wamekata tamaa?
Yetu macho watanzania kuelekea uchaguzi wa 2020
Itakumbukwa aliwahi kugombea 2005Sheria ya uchaguzi Tanzania inataka mgombea urais,walau awe na degree moja,vipi sultani Mbowe ali reseat mitihani yake ya form six?
Hutaki agombe au? Hahahaha!!habari hiyo umeokota wapi ?
Vipi hamtaki agombee au?Wanapima upepo tu nadhani. Hawajali kuhusu janga hili wao wanawaza matumbo yao tu.
Kwa hivo Magufuli na Mbowe bora nani?Wasipomuweka mtu kama lisu wategemee maumivu, mbowe hata 20% ya kura hatochukua, watanzania wengi sana hawamuamini hata walio CDM wenyewe.
Vipi hutaki agombee Mwenyekiti wa Maisha?Wazee wa fitna na upikaji wa majungu - kweli nimeamini kwamba hii sasa ni kazi kama zilivyo kazi nyingine za maofisini na viwandani.
Sheria namba ngapi na ya mwaka ganiSheria ya uchaguzi Tanzania inataka mgombea urais,walau awe na degree moja,vipi sultani Mbowe ali reseat mitihani yake ya form six?