Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Aliyasema hayo Dr. Slaa kuhusiana na Uchaguzi 2015 na issue ya kile kituo cha kukusanyia matokeo. Kile kituo kilikuwa cha siri na watu waliofahamu wachache Mbowe akiwepo.
Inasemekana yeye ndo alitoa siri kwa akinq Jan Makamba akapokea Bil 5. Ili asaliti mapambano.akatoa siri ya wapi hicho kituo kilikuwepo maelezo ya hiyo Bilion 5 alikuja mweleza Magufuli, January Makamba . Ndo kisa cha Magufuli kuona wapinzani ni wezi tu.
Hayo yalisema na Dr. Slaa akijibu maswali kuhusiana na kitabu chake na yaliyojiri Mwaka 2015 na baada ya hapo. Anasema wapo baadhi ya watu waliokuwa Ukawa walishaacha hata kuongea na Mbowe. Anakumbukwa siku ambayo ilikuwa wakaonane na wenzie kupanga mikakati akazima simu siku nzima asipatikane kukwamisha juhudi.
Ni mambo ambayo yalimfanya Lowassa anyamaze tu baada ya kugundua msaliti alikuwa katikati yao akimega mkate nao na kunywa divai. Akawasaliti kwa kuwabusu. Kwa vipande vya fedha hivyo.
Haya maneno aliyazungumza Dr. Slaa aka Dr. Mihogo akielezea na kisa cha Abs. Mwang'onda aliyekuwa Mkurugenzi wa Tiss ambaye baadaye alikufa kwa kifo tatanishi akiwa amekata tamaa na kuchoka na kusalitiwa. Mwaka 2015 hadi Tiss walikuwa tayari kuibadilisha nchi.