Mbowe kuna baadhi ya wana Ukawa mpaka leo hawazungumzi naye. Aliwauza Dr. Slaa

Mnafiki huyo, alikimbia kabla ya uchaguzi akakimbilia Canada .

sema mbowe akaona asikose vyote.
 
Wengine wakizeeka wanakuwa na akili ya kupatanisha watu, huyu akizeeka anakuwa na akili ya kuwachonganisha watu. Kwa umri wake angekuwa ndiye mjenzi wa upinzani wa kweli kwa kuwa'support' na siyo kuwaandama baadhi ya wapinzani ili waonekane hawafai mbele ya watu wengine. Kwani yeye amesahau maneno aliyokuwa akiyasema wakati alipokuwa upande wa pili wa barabara, 'alipolamba asali'?
 
Mithali 18
18 Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu, hofu ya nini?
 
Mithali 18
18 Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu, hofu ya nini?
Wapambe wana nia ya mpambe wao apite bila kupingwa au awe na watu watajaoambulia kura chache tu. Ingawa na mimi ningependa kama inawezekana, Mbowe amwachie Lissu, lakini approach aliyotumia siyo effective Kwa sababu itafanya wale wa upande wa Mbowe wasimpigie kura wakati wa uchaguzi ndani na nje ya chama, wakati kama angetumia approach nyingine angeungwa mkono na Mbowe na wote walio upande wake. Ingawa hadi mwezi uliopita wote wawili walikuwa wakituaminisha kuwa wako pamoja na Wana mitazamo tofauti tu ya mambo, lakini mwezi huu wa Desemba imeonekanana kwamba tulikuwa tukilishwa matangopori. Kuna clip moja You Tube Lissu anaongelea hii hali kwamba uhusiano wao ulianza kupunguza muda tu, na kwamba hata hawawasiliani Kwa simu kama ilivyokuwa zamani, bali wanakutana tu kwenye vikao. Maneno mengine aliyoyasema 'more serious' (Kwa maoni yangu) tafuteni hiyo clip wenyewe muyasikilize. Kumbe tulikuwa tukilishwa matangopori.
 
Mzee ni mpiga dili huku anawahadaa wananchama!!!
Mchaga tena mbele ya pesaaa.
 
Mbowe ni muhuni toka zamani nimesema siku nyingi hapa
 
Huu sasa umbea, tabia za kina mama au watoto wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…