Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.
Mlale Unono πππ₯
======
Your browser is not able to display this video.
Freeman Mbowe akikanusha kuhusu tuhuma za yeye kugombana na Lissu
"Halafu niseme kitu kingine kimoja, unajua kuna watu wanafikiri wanasema Mbowe na Lissu wanagombana, Mbowe na Lissu Eee, Sasa nawaambia mimi na Lissu yule ni Makamu wangu mimi ni Mwenyekiti, Siwezi kugombana na Makamu wangu, kama nilivyosema siwezi kugombana na yoyote na chuki za milele ndani ya Chama hiki nakwambia kwamba Ziara ya Karatu tutaifanya na Lissu".
"Kwa hiyo tutafanya Ziara, nilikuwa najaribu kupanga ratiba, naiangalia ratiba wamenipangia ziara ya Karatu, najaribu kujiuliza hii Ratiba tunaipangaje, kwa hiyo wanaongojea chama hiki kipasuke watangojea sana, labda wasubiri Masta Mbowe mwenyewe afe, nikifa labda, Hiki chama hakifi anayesubiri Chama hiki kife anapoteza muda wake".
Hizi chopa hizi zinazodondoka hizi? Halafu wakaemo Mbowe na Lisu kwa pamoja? Ikizidiwa na ukungu na kudondoka itakuwaje?
Not a good idea AT ALL!
Kila mmoja asafiri kivyake tena wahakikishe wanatumia chopa mpya na za kisasa zenye rada inayoonyesha hali ya hewa vizuri na siyo haya mabati ya zamani yaliyoliwa na kutu kama ya hii ndege aliyoanguka nayo makamu wa rais wa Malawi!
Na wahakikishe wana marubani wazoefu na wanaowaamini!
Hizi chopa hizi zinazodondoka hizi? Halafu wakaemo Mbowe na Lisu kwa pamoja? Ikizidiwa na ukungu na kudondoka itakuwaje?
Not a good idea AT ALL!
Kila mmoja asafiri kivyake tena wahakikishe wanatumia chopa mpya na za kisasa zenye rada inayoonyesha hali ya hewa vizuri na siyo haya mabati kama aliyoanguka nayo makamu wa rais wa Malawi!

Ndiyo lakini ni Soviet era aircraft - extremely old and probably with obsolete technology and not airworthy. Waangalie chopa wanazotumia zisiwe zimechakaa kama hayo mabati yaliyoliwa na kutu katika hiyo picha...
Hizi chopa hizi zinazodondoka hizi? Halafu wakaemo Mbowe na Lisu kwa pamoja? Ikizidiwa na ukungu na kudondoka itakuwaje?
Not a good idea AT ALL!
Kila mmoja asafiri kivyake tena wahakikishe wanatumia chopa mpya na za kisasa zenye rada inayoonyesha hali ya hewa vizuri na siyo haya mabati kama aliyoanguka nayo makamu wa rais wa Malawi!
Na wahakikishe wana marubani wazoefu na wanaowaamini!
Kwana makamu wa Rais wa Malawi alianguka na chopa? Au ndege ya jeshi? Ilishindwa kutua uwanja wa ndege Mzuzu. Ingekua chopa ingetua popote hatauwanja wa mpira au barabarani.