johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.
Mlale Unono 😃😃🔥
======
Freeman Mbowe akikanusha kuhusu tuhuma za yeye kugombana na Lissu
"Halafu niseme kitu kingine kimoja, unajua kuna watu wanafikiri wanasema Mbowe na Lissu wanagombana, Mbowe na Lissu Eee, Sasa nawaambia mimi na Lissu yule ni Makamu wangu mimi ni Mwenyekiti, Siwezi kugombana na Makamu wangu, kama nilivyosema siwezi kugombana na yoyote na chuki za milele ndani ya Chama hiki nakwambia kwamba Ziara ya Karatu tutaifanya na Lissu".
"Kwa hiyo tutafanya Ziara, nilikuwa najaribu kupanga ratiba, naiangalia ratiba wamenipangia ziara ya Karatu, najaribu kujiuliza hii Ratiba tunaipangaje, kwa hiyo wanaongojea chama hiki kipasuke watangojea sana, labda wasubiri Masta Mbowe mwenyewe afe, nikifa labda, Hiki chama hakifi anayesubiri Chama hiki kife anapoteza muda wake".
Pia soma:

- Kuelekea 2025 - Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?
- Kuelekea 2025 - Mbowe: Siwezi gombana na Lema, mama yake atanipigia Simu
- Tetesi: - Huenda chama kipya cha Lissu kikasheheni watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof. Safari, Mnyika, Heche, Wenje na wale wote waliotoka CHADEMA kwa figisu