MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Unayajua sana ya Chadema kuriko ya LUMUMBA wewe ni mshakunaku.Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.
Mlale Unono πππ₯
View attachment 3018963
Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X
Pia soma: Kuelekea 2025 - Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?
Muda umefika Mbowe amwachie Lissu aongoze Chadema.Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.
Mlale Unono πππ₯
View attachment 3018963
Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X
Pia soma: Kuelekea 2025 - Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?
Nimewaza the same. Strategically haipo salama. Unless mbowe ana Agenda nyuma ya paziaHizi chopa hizi zinazodondoka hizi? Halafu wakaemo Mbowe na Lisu kwa pamoja? Ikizidiwa na ukungu na kudondoka itakuwaje?
Not a good idea AT ALL!
Kila mmoja asafiri kivyake tena wahakikishe wanatumia chopa mpya na za kisasa zenye rada inayoonyesha hali ya hewa vizuri na siyo haya mabati ya zamani yaliyoliwa na kutu kama ya hii ndege aliyoanguka nayo makamu wa rais wa Malawi!
Na wahakikishe wana marubani wazoefu na wanaowaamini!
View attachment 3018908
Kamuulize kama hajalamikaKwani Lissu amelalamika?
Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Chopa sio ya kulilia mkuu, labda wewe kama ni mchawiKwahiyo chopa ni kwaajili ya mbowe tu??
Siyaamini hayo machopa.Konyagi inajimix vizuri kwenye chopa.
Akumbuke tu kuwa siku hizi chopa zinaanguka
johnthebaptist yuko vizuri, anashabikia na kukosa issues. Hataki uchawa.Joh sijawahi muelewa yupo upande upi. Kila sehemu anashabikia iwe kwa mama yupo kwa Lissu pia yupo
Namuona Mbowe akisema amepatwa na dharura lissu panda chopa nenda kaniwakilishe mara chopa imepotea na hadithi imeishia hapo chadema bendera nusu mlingoti umati wahudhuria mazishi!Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.
Mlale Unono πππ₯
View attachment 3018963
Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X
Pia soma: Kuelekea 2025 - Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?
Ukiambiwa hiki ndio chama alichoasisi Nyerere huwezi amini kwamba kina wajinga kama hawa.Lissu asikubali kuachwa peke yake kwenye chopa, Mbowe ana mpango wa kuiangusha chopa ili Lissu apoteze maisha.
Hilo dua mbaya liwarudie huko CCM na kama Mungu aishivyo hilo litatokea huko CCM kabla ya mwaka huu kwisha.Namuona Mbowe akisema amepatwa na dharura lissu panda chopa nenda kaniwakilishe mara chopa imepotea na hadithi imeishia hapo chadema bendera nusu mlingoti umati wahudhuria mazishi!
Hayo ni maono umeshindwa kutafsiri!Hilo dua mbaya liwarudie huko CCM na kama Mungu aishivyo hilo litatokea huko CCM kabla ya mwaka huu kwisha.
Kila baya liwakute huko CCM na litawakuta kweli.Hayo ni maono umeshindwa kutafsiri!
Baya ni kuwa madarakani!Kila baya liwakute huko CCM na litawakuta kweli.
Achaneni na chopa msije mkakrush mkasingizia ccmMwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.
Mlale Unono πππ₯
View attachment 3018963
Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X
Pia soma: Kuelekea 2025 - Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?
Hata ccm ni hivyo tuSwali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Ccm madaraka yanawatesa tu hamuyafuraii kama unavyodhaniBaya ni kuwa madarakani!
Kama kaikodi kwa pesa yake binafsi kuna shida ganiSwali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe