Pre GE2025 Mbowe: Kuna Watu wanasema Nina mgogoro na Tundu Lissu nawaambia Watasubiri sana, Chopa inaanza operation Karatu na Nitakuwa na Tundu Lissu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.

Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.

Mlale Unono 😃😃🔥

View attachment 3018963

Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X

Pia soma: Kuelekea 2025 - Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?
Unayajua sana ya Chadema kuriko ya LUMUMBA wewe ni mshakunaku.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.

Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.

Mlale Unono 😃😃🔥

View attachment 3018963

Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X

Pia soma: Kuelekea 2025 - Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?
Muda umefika Mbowe amwachie Lissu aongoze Chadema.
 
Hizi chopa hizi zinazodondoka hizi? Halafu wakaemo Mbowe na Lisu kwa pamoja? Ikizidiwa na ukungu na kudondoka itakuwaje?

Not a good idea AT ALL!

Kila mmoja asafiri kivyake tena wahakikishe wanatumia chopa mpya na za kisasa zenye rada inayoonyesha hali ya hewa vizuri na siyo haya mabati ya zamani yaliyoliwa na kutu kama ya hii ndege aliyoanguka nayo makamu wa rais wa Malawi!

Na wahakikishe wana marubani wazoefu na wanaowaamini!

View attachment 3018908
Nimewaza the same. Strategically haipo salama. Unless mbowe ana Agenda nyuma ya pazia

Hata CCM inaweza kutembea humo humo hatar sana

Can’t put all eggs on the same busket

Lissu asipande hiyo chopa , mbowe aendelee
 
Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter

Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka

Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe

Ccm wote wanatumia chopa?
 
The odds of random events are predictable; that is why Las Vegas always makes a profit on gambling year after year.

You can see the truth if you look at the big picture , Tundu lissu asitumie usafiri wa chopa, the time is not right , na duru za kiintelejensia zinaonesha RED LIGHT.

Tundu Lissu should never accept set up ya aina yote. SIASA za TZ ni VITA, na adui anakupiga popote kwenye opportunity.

Tukiangalia odds za matukio ya kisiasa karibu na uchaguzi, matukio ni predictably, Lissu ni mpinzani wa kweli Tanzania everybody knows, hata JPM alijua hilo, Hata Samia anajua hilo, hata mbowe anajua.

Mbowe si mpinzani, ni opportunist with careful calculated moves.

Lissu awe makini.

There is not true love between politicians . Hata Samia, anaweza kudhani sisi wakosoaji ndio maadui zake, lakini the truth is , madui wa samia ni wale ambao wapo just right to her nose., those are the true enemies.

Chances za matukio kujirudia ni kubwa. Lissu aachane na CHOPA na nikipindi sasa cha kuimarisha ULINZI and I still believe his gods are alive .
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.

Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.

Mlale Unono 😃😃🔥

View attachment 3018963

Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X

Pia soma: Kuelekea 2025 - Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?
Namuona Mbowe akisema amepatwa na dharura lissu panda chopa nenda kaniwakilishe mara chopa imepotea na hadithi imeishia hapo chadema bendera nusu mlingoti umati wahudhuria mazishi!
 
Hilo dua mbaya liwarudie huko CCM na kama Mungu aishivyo hilo litatokea huko CCM kabla ya mwaka huu kwisha.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.

Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.

Mlale Unono 😃😃🔥

View attachment 3018963

Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X

Pia soma: Kuelekea 2025 - Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?
Achaneni na chopa msije mkakrush mkasingizia ccm
 
Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter

Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka

Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Hata ccm ni hivyo tu

Magufuli alikuwa na Choppa, gari la wagonjwa, gari la mawasiliano,
Misafara mkubwa tu

Kulinga Isha na Makampuni wake
 
Baya ni kuwa madarakani!
Ccm madaraka yanawatesa tu hamuyafuraii kama unavyodhani

Hayo mamikopo makubwa mliyo nayo

Mamirardi mikubwa sgr na stihlers mliyofunga ambayo inayoondoka na Kila sent mnayokusanya

mna madeni ,sugu kama nssf, tandroad nhif nk

kwa Hali hii madaraka mnayafurahia kweli???
 
Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter

Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka

Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Kama kaikodi kwa pesa yake binafsi kuna shida gani
 
Back
Top Bottom