Pre GE2025 Mbowe: Kuna Watu wanasema Nina mgogoro na Tundu Lissu nawaambia Watasubiri sana, Chopa inaanza operation Karatu na Nitakuwa na Tundu Lissu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unayaishi mbinguni!
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Yaani wana JF wengi tumekuwa na mawazo na michango ya kitoto sana sijui shida iko wapi?
Lengo la Lissu ni kutoa elimu ya kujitambua na kuna kuwa na mgawanyo wa majukumu. Yaani no matter what Watu mnakuwa na judgements za kitoto sana. Hamuoni nchi inavyoliwa? Lissu amejaribu kuwatoa tongotongo lakini bado hatujielewi.
 
Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter

Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka

Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Lisu anapenda kutumia gari, na ndio maana anachangisha kununua gari na sio chopa. Una jingine kwa msaada zaidi?
 
Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter

Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka

Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Sasa mmehamisha mada sio mgogoro tena
 
Akihutubia wananchi wa karatu hivi karibuni mheshimiwa Mbowe amesema kuna watu wanasubiri kuona chadema itasambaratika hasa kutokana na uvumi kwamba haelewani na makamu wake, amesema watasubiri sana. Akasema kusambaratika kwa chadema ni mpaka kamanda Mbowe afe lakini akiwa hai suala la chadema kusambaratika halipo.
 
Amesema hivyo kweli?
Inamaana chama kama Mali BinafsiπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…