Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof Xavery Lwaitama 🐒Natamani kujua wajumbe wa hilo baraza ni akina nani ?
Unayaishi mbinguni!Ccm madaraka yanawatesa tu hamuyafuraii kama unavyodhani
Hayo mamikopo makubwa mliyo nayo
Mamirardi mikubwa sgr na stihlers mliyofunga ambayo inayoondoka na Kila sent mnayokusanya
mna madeni ,sugu kama nssf, tandroad nhif nk
kwa Hali hii madaraka mnayafurahia kweli???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiiBora,mimi nimetahadharisha,CHADEMA wamenitukana mnoo yani kwenye pm yangu.nimewaacha tu,yawezekana hawana hela ya kuchinja mbuzi leo.
Hata wewe ukiwa tayari utatumia tu fuata utaratibuKwahiyo chopa ni kwaajili ya mbowe tu??
Pekee yake ?Prof Xavery Lwaitama 🐒
😂😂😂Uyu ndugu yangu , amebeba jina kubwa sana nafikiri alisha jitambua , mwanzo mzee Mgaya alikua anamsumbua sana
Lisu anapenda kutumia gari, na ndio maana anachangisha kununua gari na sio chopa. Una jingine kwa msaada zaidi?Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Sasa mmehamisha mada sio mgogoro tenaSwali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe