KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Ni haki yake kikatiba!! CHADEMA sio mama wa mtu!!Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.
Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
Nawewe piga hela au wewe ulevi wako ni kula mbususu hadi za kimboka 😒Siasa za Bongo ni za kiswahili swahili, kikatuni katuni watu hawako serious sana na maswala muhimu wanafanya maigizo maigizo ili wapige hela tu.
Walio serious wanapotezwaSiasa za Bongo ni za kiswahili swahili, kikatuni katuni watu hawako serious sana na maswala muhimu wanafanya maigizo maigizo ili wapige hela tu.
We usiye mchagga umefanyia nn hii Nchi?Mchaga mpiga dili
Sawa...Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.
Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
^Ndugu wajumbe, mimi sasa naenda kutafuta zangu mafekeche!^ hahahaAende hata leo, sindio fekeche alizotuahidi anakwenda kufanya baada ya kupigwa chini uenyekiti!
Mkuu, unataka apumzike kwa faida ya nani hasa?Ningekuwa mshauri wa Mbowe ningemshauri apumzike. Asifanye huo ujinga.
Kwa faida ya chama chake alichokilea. Sababu hiyo chauma haifiki popote. Kujenga chama sio rahisi kihivyo.Mkuu, unataka apumzike kwa faida ya nani hasa?
Nakumbuka aliomba ridhaa ya uchea, mkalikata jina lake. Sasa mbona?
Atapata tabu sana hata kama ni hela this time atakula kwa jasho na masimango mengi watu wanamsubiri kwa hamu kubwa sanaZile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.
Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
Nitacheka sana siku hiyo,r.i.p wote waliokifia Chama Cha Demokrasia na MaendeleoZile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.
Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.