Tetesi: Mbowe kuondoka na covid-19 kumi kwenda nao CHAUMMA

Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.

Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
Nusu mkate
 
Hiyo pia nisawa ili covid 19 wajijue kama wao ni ndege ama popo?
 
Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.

Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.

Mbowe hataamini wa Tanzania, alienda huko atakuwa anaimarisha Chadema bila kujua
 
Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.

Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
LOWASSA ALITOKA CCM AKAENDA CHADEMA, THATS INDIVIDUAL DECCESION, TANZANIA NI HURU, KILA MTU YUPO HURU, HAKUNA ANAYEFUNGWA KAMBA ILI KUZUIA UTAISHI WAKE BINAFSI, BW. MBOWE KARIBU "" CHAUMMA "UPIGANIE KILE UNACHOKIAMINI KWA MLANGO HUU, WELCOME SIR, FEEL FREE, THE NEXT HOME ✔
 
Yaani Mbowe ndio wa kutufanyia hivi, sawa tu malipo ni hapa hapa duniani
1000036649.png
 
Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.

Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
Tunamtakia safari njema kwenda kuufinya ubwabwa
 
Wasaliti tu hawana huruma na masikini! Wenye akili wachache Tz wao na vizazi vyao vitaishi maisha ya ubwanyenye, wajinga wengi wataishia kuimba nyimbo za mapambio na kulaza migongo yao chini ili mabwenyenye yapite na kupigwa jua kwa posho ya siku moja ya Tsh 10000.
 
Kwa faida ya chama chake alichokilea. Sababu hiyo chauma haifiki popote. Kujenga chama sio rahisi kihivyo.
Kwa sababu yeye ni mpenda-demokrasia, itakuwa anaenda kuilea na kuijenga CHAUMMA pia.

Kwani kuna ubaya wowote chama kikimsajili kocha mpya?
 
Nitacheka sana siku hiyo,r.i.p wote waliokifia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
Utawachekaje, kwa sababu hiyo ni haki yao kikatiba na pia inaonekana kule Sidiemu wamebanwa sana.

Nimesikia wengine wanadai ndoto zao zinazimwa na baadhi ya watu. Sasa wao hawataki hilo liwatokee.
 
Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.

Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.

Heshima yake itashuka kama Mrema ni bora angebaki alivyo. Kila mtu anajua Chauma ni fake !!
 
Back
Top Bottom