Mbona MO ni tajiri lakini aligombea ubunge?WEWE NI MPUUZI KWELI KWELI! YANI UTAJIRI ALIONAO FAM AWE DC?
Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Siku hizi JF kama Facebook hakuna tena quality information... inapotea kwa style ya XIla jamiiforum aisee!!!!
Unavimbiwa na maharage halafu unakuja kucheua hapa. Unafaidika nini sasa.Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Mtakie radhi Mhe. MboweMheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Hata kama akipewa jimbo pemba ni sawa tu.Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Yaani cheo wanachopewa wasanii na vitoto vidogo we umeona kinamfaa Mbowe! Hii ni dharauMheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
HUWEZI KUTEUA MTU WA ITIKADI YA CHAMA KINGINE ASIMAMIE SERA YA CHAMA CHAKO!!!Mashinji na Nassari waliingia CCM lini?
Dr Slaa je?HUWEZI KUTEUA MTU WA ITIKADI YA CHAMA KINGINE ASIMAMIE SERA YA CHAMA CHAKO!!!
Uliza vizuri utajua..
Ndio uhuru wa kujieleza huo mkuuIla jamiiforum aisee!!!!
Acha usengele nyuma huoMheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Unawafahamu RC Anna Mnghwila na Queen Sendika?HUWEZI KUTEUA MTU WA ITIKADI YA CHAMA KINGINE ASIMAMIE SERA YA CHAMA CHAKO!!!
Uliza vizuri utajua..
Acha ujinga hizo kazi za kina Lucas mwashambaMheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
NaamUnawafahamu RC Anna Mnghwila na Queen Sendika?
WOTE WALIPEWA KADI ZA CCM. Achana na ushabiki wa mitaani.Unawafahamu RC Anna Mnghwila na Queen Sendika?
Hivi unajua kuna watu wako upinzani lakini wana kadi za CCM??Unawafahamu RC Anna Mnghwila na Queen Sendika?