Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Mbona MO ni tajiri lakini aligombea ubunge?WEWE NI MPUUZI KWELI KWELI! YANI UTAJIRI ALIONAO FAM AWE DC?
Imagine mtu kama MO na utajiri wake wote ule, asimame juani (na lile li upepo la singida) eti kuwaomba watu wamuwekee vikaratasi kwenye box