tarimemjini
Member
- Jul 10, 2025
- 71
- 142
Kila la kheri hatimaye Chaumwa itapata dr.Habari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Siyo habari, tetesi huenda ikawa kweli/si kweli.Habari ndio hiyo.
Mchagga na pesa 🐼Atakuwa amejitahibia kuliko hata Prof Lipumba na wapinzani wengine, bora angekaa kimya. Anyway Mbowe akiingia kwenye active politics za kupingana na chama chake na alichokiasisi atakuwa amepoteza hadhi na sifa alizojijengea miaka zaidi ya 40 ya kuwa kwenye active politics. Namsifu sana Halima Mdee kwa maamuzi aliyofanya i can still good future kwake. Mara nyingine ni vizuri kuwa na msimamo hata kama una njaa.
Mbowe aende chauma tena halafu akagombee urais? Siku hiyo hiyo akiafanya hivyo hata kadi ya chama changu naifungia ktk kabati wala siitoi tena ktk maisha yangu yote, watz tutakuwa tunachezewa akili sasaHabari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Hawana cha kufanya zaidi ya kutengeneza tetesi!Hizi tetesi zimechosha, si msubirie itimie?
Mnalipwa kwa tetesi?
Hakuna malipo yoyote sema hii minyumbu imechanganyikiwa sana.......Sasa inaropoka lolote linalokuja katika mifuvu yao isiyo na maana.Hizi tetesi zimechosha, si msubirie itimie?
Mnalipwa kwa tetesi?
Mie pia namuunga mkono aende hukoHabari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.