Atasindikizwa na Yericko Nyerere
CHADEMA ina watu wa ajabu ajabu sana! Kujidai wasafi kumbe watu wa ovyo tu. Mbowe kwenda CHAUMMA kosa nini kama ni kweli? Ninyi mna usafi gani wakati mmeua hadi CHADEMA Digital?Habari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Lowassa alivyoenda chadema, ulifungia kadi yako?Mbowe aende chauma tena halafu akagombee urais? Siku hiyo hiyo akiafanya hivyo hata kadi ya chama changu naifungia ktk kabati wala siitoi tena ktk maisha yangu yote, watz tutakuwa tunachezewa akili sasa
Amejiharibia kwa nani?Atakuwa amejitahibia kuliko hata Prof Lipumba na wapinzani wengine, bora angekaa kimya. Anyway Mbowe akiingia kwenye active politics za kupingana na chama chake na alichokiasisi atakuwa amepoteza hadhi na sifa alizojijengea miaka zaidi ya 40 ya kuwa kwenye active politics. Namsifu sana Halima Mdee kwa maamuzi aliyofanya i can still good future kwake. Mara nyingine ni vizuri kuwa na msimamo hata kama una njaa.
Andika maoni. Aisee ndiyo nini weweAiseeeeeee
Na wewe mbwiga hapa Chadema inahusika nini na hii mada ya Chaumma? Wewe hata mume wako akishindwa kukufikisha kileleni lazima uitaje Chadema,pumbavu kabisa wewe.CHADEMA ina watu wa ajabu ajabu sana! Kujidai wasafi kumbe watu wa ovyo tu. Mbowe kwenda CHAUMMA kosa nini kama ni kweli? Ninyi mna usafi gani wakati mmeua hadi CHADEMA Digital?
Halafu msiwe na akili mbovu kila kitu kuitaja CCM wakati pale juu mmeweka mwenyekiti petrol na makamu mafuta taa. Jadilini yenu achaneni na CCM siyo level yenu mnakera sana.
Acha ujinga. Hiyo ni chadema B, Acha akaungane na chadema wenzake huko chaumma.Habari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Ramli kama kawaidaHabari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Ni haki yake kikatiba.Mbowe aende chauma tena halafu akagombee urais? Siku hiyo hiyo akiafanya hivyo hata kadi ya chama changu naifungia ktk kabati wala siitoi tena ktk maisha yangu yote, watz tutakuwa tunachezewa akili sasa
Habari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Hata aliyempiga chini kesy!Atakuwa amejitahibia kuliko hata Prof Lipumba na wapinzani wengine, bora angekaa kimya. Anyway Mbowe akiingia kwenye active politics za kupingana na chama chake na alichokiasisi atakuwa amepoteza hadhi na sifa alizojijengea miaka zaidi ya 40 ya kuwa kwenye active politics. Namsifu sana Halima Mdee kwa maamuzi aliyofanya i can still good future kwake. Mara nyingine ni vizuri kuwa na msimamo hata kama una njaa.
Sababu ni kupenda UbwabwaAiseeh, ataambia nini watu sababu ya kujiunga na chaumma ni nini hasa? Ngoja tusubiri.