CHADEMA ina watu wa ajabu ajabu sana! Kujidai wasafi kumbe watu wa ovyo tu. Mbowe kwenda CHAUMMA kosa nini kama ni kweli? Ninyi mna usafi gani wakati mmeua hadi CHADEMA Digital?
Halafu msiwe na akili mbovu kila kitu kuitaja CCM wakati pale juu mmeweka mwenyekiti petrol na makamu mafuta taa. Jadilini yenu achaneni na CCM siyo level yenu mnakera sana.
Script ilikuwa nzuri, timing mbayaHabari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Huyu ni changudoa fulani hiviWewe ndio unakera. Unaitaja CHADEMA na hutaki CCM itajwe.
Andika maoni. Aisee ndiyo nini wewe
Mnasogeza sana tarehe kwa mgombea aliechachaHabari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
kwani Chama kilikuwa Mbowe. Wewe kama una imani yako na CHADEMA usife moyo. Mbowe ni Mchaga na Mchaga na pesa ni kama pete na chanda.Mbowe aende chauma tena halafu akagombee urais? Siku hiyo hiyo akiafanya hivyo hata kadi ya chama changu naifungia ktk kabati wala siitoi tena ktk maisha yangu yote, watz tutakuwa tunachezewa akili sasa
No REFORM NO ELECTIONCHADEMA ina watu wa ajabu ajabu sana! Kujidai wasafi kumbe watu wa ovyo tu. Mbowe kwenda CHAUMMA kosa nini kama ni kweli? Ninyi mna usafi gani wakati mmeua hadi CHADEMA Digital?
Halafu msiwe na akili mbovu kila kitu kuitaja CCM wakati pale juu mmeweka mwenyekiti petrol na makamu mafuta taa. Jadilini yenu achaneni na CCM siyo level yenu mnakera sana.
Nimeipenda hii nukuu yako kule kwenye ile mada nyingineSawa hakuna mwenye muda na taperi la kimachame
Ajikane ukristo wake kwanza! Mwanadamu gani huyu anajinasibu kujenga pia makanisa ya kumuabudu Mungu huku upande wa pili anazenda kinyume na Mungu anavyotaka. Snitch wa Imani. Na mbingu hataiona!Habari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Nilikua natest mitambo but next time nitakupumzisha ignore list.View attachment 3427250 TUSIPANGIANE COMMENTS MKUU
Utani tu. Umechukia kumbe!
Utani tu. Umechukia kumbe!
Huyo mmachame hajali kuhusu reputation! Kwake ni hela mbele, ndio maana wakati anaaga baada ya kugaragazwa na lisu akasema anaenda kusaka "mafekeche" and there he goes!Atakuwa amejitahibia kuliko hata Prof Lipumba na wapinzani wengine, bora angekaa kimya. Anyway Mbowe akiingia kwenye active politics za kupingana na chama chake na alichokiasisi atakuwa amepoteza hadhi na sifa alizojijengea miaka zaidi ya 40 ya kuwa kwenye active politics. Namsifu sana Halima Mdee kwa maamuzi aliyofanya i can still good future kwake. Mara nyingine ni vizuri kuwa na msimamo hata kama una njaa.
😁😁😁Nimeipenda hii nukuu yako kule kwenye ile mada nyingine
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana
Kama hakuwahi kushinda urais kupitia chadema,basi hatokaa ashinde tena urais mpaka anaingia kaburiniHabari ndio hiyo.
Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.
Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.