Tetesi: Mbowe kupokelewa CHAUMMA Agosti 06 ukumbi wa Mlimani City

Habari ndio hiyo.

Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.

Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
CHADEMA ina watu wa ajabu ajabu sana! Kujidai wasafi kumbe watu wa ovyo tu. Mbowe kwenda CHAUMMA kosa nini kama ni kweli? Ninyi mna usafi gani wakati mmeua hadi CHADEMA Digital?

Halafu msiwe na akili mbovu kila kitu kuitaja CCM wakati pale juu mmeweka mwenyekiti petrol na makamu mafuta taa. Jadilini yenu achaneni na CCM siyo level yenu mnakera sana.
 
Mbowe aende chauma tena halafu akagombee urais? Siku hiyo hiyo akiafanya hivyo hata kadi ya chama changu naifungia ktk kabati wala siitoi tena ktk maisha yangu yote, watz tutakuwa tunachezewa akili sasa
Lowassa alivyoenda chadema, ulifungia kadi yako?
 
Amejiharibia kwa nani?
 
Aiseeh, ataambia nini watu sababu ya kujiunga na chaumma ni nini hasa? Ngoja tusubiri.
 
Na wewe mbwiga hapa Chadema inahusika nini na hii mada ya Chaumma? Wewe hata mume wako akishindwa kukufikisha kileleni lazima uitaje Chadema,pumbavu kabisa wewe.
 
Mbowe aende chauma tena halafu akagombee urais? Siku hiyo hiyo akiafanya hivyo hata kadi ya chama changu naifungia ktk kabati wala siitoi tena ktk maisha yangu yote, watz tutakuwa tunachezewa akili sasa
Ni haki yake kikatiba.
 
Habari ndio hiyo.

Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.

Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.

Mbowe akifanya hivyo ndiyo kajivunjia hesma yake kabisa. Atakuwa wa ajabu sana maana hesima zote Heche na Lissu wamempa.

Tatizo kubwa nimegundua huko Dubai DP world wanaweka pesa sana kwenye account za jamaa tofauti kwa kisingizio ni mikopo ya kibiashara kumbe ni rushwa kwa niaba ya Mama
 
Hata aliyempiga chini kesy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…