Tetesi: Mbowe kupokelewa CHAUMMA Agosti 06 ukumbi wa Mlimani City

Nitamshangaa sana Mbowe kupokelewa CHAUMMA. Mbowe atakuwa anajidhalilisha sana. CHADEMA imeshakuwa kwenye mioyo ya wananchi.
 

Wewe ndio unakera. Unaitaja CHADEMA na hutaki CCM itajwe.
 
Niliona Itv habari siku 6 nyuma kuwa Mbowe kafujuzwa uanachama.
 
Ni jambo la kipuuzi mno kuona mtu anatapika wanatokea watu wanajaribu kumfumba mdomo!
 
Mbowe aende chauma tena halafu akagombee urais? Siku hiyo hiyo akiafanya hivyo hata kadi ya chama changu naifungia ktk kabati wala siitoi tena ktk maisha yangu yote, watz tutakuwa tunachezewa akili sasa
kwani Chama kilikuwa Mbowe. Wewe kama una imani yako na CHADEMA usife moyo. Mbowe ni Mchaga na Mchaga na pesa ni kama pete na chanda.
 
No REFORM NO ELECTION
 
Tunasubiri tuthibitishe haya
 
Sawa hakuna mwenye muda na taperi la kimachame
Nimeipenda hii nukuu yako kule kwenye ile mada nyingine
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana
 
Habari ndio hiyo.

Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.

Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Ajikane ukristo wake kwanza! Mwanadamu gani huyu anajinasibu kujenga pia makanisa ya kumuabudu Mungu huku upande wa pili anazenda kinyume na Mungu anavyotaka. Snitch wa Imani. Na mbingu hataiona!
 
Huyo mmachame hajali kuhusu reputation! Kwake ni hela mbele, ndio maana wakati anaaga baada ya kugaragazwa na lisu akasema anaenda kusaka "mafekeche" and there he goes!
 
😁😁😁
 
Habari ndio hiyo.

Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.

Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Kama hakuwahi kushinda urais kupitia chadema,basi hatokaa ashinde tena urais mpaka anaingia kaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…