Tetesi: Mbowe kupokelewa CHAUMMA Agosti 06 ukumbi wa Mlimani City

Habari ndio hiyo.

Wajumbe tayari wako njiani wanakuja.

Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
Hana impact! Kwakuwa ameamua kuwa upande wa Mama na kwakuwa Mama anapingwa hadi kwenye chama chake basi hatakuwa na impact yoyote. Ni bora angetulia tu alinde heshima yake ndogo iliyobakia.
 
Tarehe 6 haipo mbali,lakini kama si kweli jiandae kumuomba samahani.
Mtu hayupo madarakani muache afanye analotamani.Pilipili usiokula yakuwashani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…