Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

Akifanya hivyo Mbowe atakuwa amejishushia hadhi yake kisiasa
 
Km serikali na vyombo vya dola vinampa support wanawezaje kuanguka???
 
Yule wakili mliekuwa mnamuita shujaa na mdai bandari sasaivi anapiga kampeni kwa kwenda mbele...

Dr Slaa kaungana na CDM iliyokuwa inateka watu, na sasa tatizo kubwa kwake ni kuendelea kupambana na FAM.

Maombi yako kwa kias flani yanajibiwa kaka
Hiyo utajua ww. Kama alitaka kufia madarakani cdm, basi mwambie atafia pengine.
 
Ndoto kubwa.
 
Siamini hili.
Ikiwa ni kweli:
1. Ataturahisishia kazi cdm
2. Watu watafunguka jinsi alivyotafuna chama
3. Ndio mwisho wa kaheshima chake.

Note: nitakuwa wa mwisho kuamini
 
Investment alifanya kwa ajili ya familia yake ndio maana;
1. Michango yote ya wadau kupitia kwake aliziita mkopo kwa cdm ( huu ni utakatishaji pesa) kwani pesa hizi alizopewa na wadau na kuikopesha cdn zilirudi kwake tena kwa riba...kutoka pesa za ruzuku.

2. Pesa za cdm alizitumia kwa kujikodia Chopa na kujipambia majukwaa ilhal akina Lissu wanakula vumbi kwa kutembea na gari na majukwaa ya kienyeji.

Ukweli Mbowe aliifaidi chadema zaidi kuliko chadema ilivyofaidi.
 
Labda angekuwa "mbangaizaji" tungekubali! Mwenzio yuko Dubai kwenye Hoteli yake baadaye anapaa kwenda US kwenye biashara kama hizo! HANA MUDA
 
Atadai Billions zake halafu muanze kunya ovyo kama bata! Let him BE bhana kwani ni lazima aendelee nawe?
 
Atadai Billions zake halafu muanze kunya ovyo kama bata! Let him BE bhana kwani ni lazima aendelee nawe?
ni chama gani kiliwahi kudaiwa michangi?

CHama ni sawa na kanisa huwezi dai sadaka.

Mwisho watu pia wanajua wizi wake nao watamdai
 
Maybe FAM ana madhaifu yake but hajafika level hizo, he is not lipumba
 
Aondoke Chadema aende wapi,
Ruzuku lazima ipite kwake ije kwenu.
 
Uelewa wao ni mdogo sana
 
Sasa CDM si mnayo?

Hizo fedha za bure na nyie kwanini hamzipati mnapata vipesa mbuzi havijai hata kidole?

Kama ku kodi chopa rahis sana na CDM ni tishio kwa CCM ndio maana wanapewa hela huo ukwel bado haujabadilika na nyie mpewe muache kujidhalilisha kwa kuomba mia mia...

Propaganda za kishamba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…