Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifanya hivyo Mbowe atakuwa amejishushia hadhi yake kisiasaNimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni
Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!
Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Km serikali na vyombo vya dola vinampa support wanawezaje kuanguka???Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni
Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!
Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Hiyo utajua ww. Kama alitaka kufia madarakani cdm, basi mwambie atafia pengine.Yule wakili mliekuwa mnamuita shujaa na mdai bandari sasaivi anapiga kampeni kwa kwenda mbele...
Dr Slaa kaungana na CDM iliyokuwa inateka watu, na sasa tatizo kubwa kwake ni kuendelea kupambana na FAM.
Maombi yako kwa kias flani yanajibiwa kaka
Ndoto kubwa.Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni
Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!
Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Siamini hili.Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni
Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!
Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Investment alifanya kwa ajili ya familia yake ndio maana;Wacha hizi propaganda za kijinga kaka..
FAM is way above this nonsense..
Hakuna mtu atafanya investment CDM miaka mingine 20 ijayo zaid ya FAM..
Kama pesa za abduly ni za bure na nyie mchukue muendeshe chama...
64M is the lowest kwenye fundraising za CDM kwa miaka yote tangu ianzishwe...
You dont like him, at least respect him
Msigwa yuko mbioni kurudi, aliondoka sababu ya Mbowe ila CCM haipo moyoni kabisa na hata amani hana kabisa.Halafu wapewe jukwaaa moja na Msigwa kuhutubia
Labda angekuwa "mbangaizaji" tungekubali! Mwenzio yuko Dubai kwenye Hoteli yake baadaye anapaa kwenda US kwenye biashara kama hizo! HANA MUDANimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni
Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!
Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Hao wanajua kunya tu kunawa na kuflash hawawezi.Isipotokea urudi basi kuja kutuomba radhi mkuu
Atadai Billions zake halafu muanze kunya ovyo kama bata! Let him BE bhana kwani ni lazima aendelee nawe?Investment alifanya kwa ajili ya familia yake ndio maana;
1. Michango yote ya wadau kupitia kwake aliziita mkopo kwa cdm ( huu ni utakatishaji pesa) kwani pesa hizi alizopewa na wadau na kuikopesha cdn zilirudi kwake tena kwa riba...kutoka pesa za ruzuku.
2. Pesa za cdm alizitumia kwa kujikodia Chopa na kujipambia majukwaa ilhal akina Lissu wanakula vumbi kwa kutembea na gari na majukwaa ya kienyeji.
Ukweli Mbowe aliifaidi chadema zaidi kuliko chadema ilivyofaidi.
Arudi tu, Msigwa aliteswa sana na MboweMsigwa yuko mbioni kurudi, aliondoka sababu ya Mbowe ila CCM haipo moyoni kabisa na hata amani hana kabisa.
ni chama gani kiliwahi kudaiwa michangi?Atadai Billions zake halafu muanze kunya ovyo kama bata! Let him BE bhana kwani ni lazima aendelee nawe?
Maybe FAM ana madhaifu yake but hajafika level hizo, he is not lipumbaNimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni
Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!
Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Kuna nabii mmoja name katabiri kuwa kigogo mkubwa wa CDM,ambae anaaminika,atachomoka soon.Huenda kuna ukweli.Isipotokea urudi basi kuja kutuomba radhi mkuu
Uelewa wao ni mdogo sanaWacha hizi propaganda za kijinga kaka..
FAM is way above this nonsense..
Hakuna mtu atafanya investment CDM miaka mingine 20 ijayo zaid ya FAM..
Kama pesa za abduly ni za bure na nyie mchukue muendeshe chama...
64M is the lowest kwenye fundraising za CDM kwa miaka yote tangu ianzishwe...
You dont like him, at least respect him
Sasa CDM si mnayo?Investment alifanya kwa ajili ya familia yake ndio maana;