Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

Mbona ulichoandika hakifanani na Wewe Kabisa?! Usijishushe Kiasi hiki
 
Ikitokea uje utuombe radhi wana JF.
Erythrocyte .
 
Unajuwa?
Ni bora iwe hivyo kuliko abaki kama kirusi ndani ya CHADEMA mpya, ambako ataendelea kutumika kukiumiza chama ndani kwa ndani.
 
Isipotokea urudi basi kuja kutuomba radhi mkuu
Itasikitisha zaidi kwa Mbowe kufanya hivyo, kama ilivyo sikitisha kwake kushindwa kusoma alama za nyakati na kung'ang'ania kutaka kuendelea kuwa kwenye uongozi!

Lakini kama kuna chembe yoyote ya ukweli juu ya habari hii iliyo letwa kwenye mada, hao wanaotaka kumtumia watakuwa wamekosea hatua; ambayo itakuwa ni kwa manufaa ya CHADEMA.
Ni hatari zaidi kumtumia Mbowe kuiumiza CHADEMA akiwa ndani ya chama, kuliko Mbowe aliyeko nje ya chama hicho.
Kwa hiyo kama kuna ukweli, ni bora Mbowe atimuke kungali mapema ili CHADEMA isalimike..
 
Halafu mkiambiwa mtoa ushahidi hamtoi,mnawekwa lupango na siku mkiachiwa kwa huruma za kibinaadam mnasema mnanmwachia Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…