Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.

Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni

Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!

Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Mbona ulichoandika hakifanani na Wewe Kabisa?! Usijishushe Kiasi hiki
 
Wacha hizi propaganda za kijinga kaka..

FAM is way above this nonsense..

Hakuna mtu atafanya investment CDM miaka mingine 20 ijayo zaid ya FAM..

Kama pesa za abduly ni za bure na nyie mchukue muendeshe chama...

64M is the lowest kwenye fundraising za CDM kwa miaka yote tangu ianzishwe...

You dont like him, at least respect him
Ikitokea uje utuombe radhi wana JF.
Erythrocyte .
 
Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.

Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni

Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!

Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Unajuwa?
Ni bora iwe hivyo kuliko abaki kama kirusi ndani ya CHADEMA mpya, ambako ataendelea kutumika kukiumiza chama ndani kwa ndani.
 
Isipotokea urudi basi kuja kutuomba radhi mkuu
Itasikitisha zaidi kwa Mbowe kufanya hivyo, kama ilivyo sikitisha kwake kushindwa kusoma alama za nyakati na kung'ang'ania kutaka kuendelea kuwa kwenye uongozi!

Lakini kama kuna chembe yoyote ya ukweli juu ya habari hii iliyo letwa kwenye mada, hao wanaotaka kumtumia watakuwa wamekosea hatua; ambayo itakuwa ni kwa manufaa ya CHADEMA.
Ni hatari zaidi kumtumia Mbowe kuiumiza CHADEMA akiwa ndani ya chama, kuliko Mbowe aliyeko nje ya chama hicho.
Kwa hiyo kama kuna ukweli, ni bora Mbowe atimuke kungali mapema ili CHADEMA isalimike..
 
Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.

Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni

Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!

Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Halafu mkiambiwa mtoa ushahidi hamtoi,mnawekwa lupango na siku mkiachiwa kwa huruma za kibinaadam mnasema mnanmwachia Mungu.
 
Back
Top Bottom