Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

Anaweza maana mahali pakulia pameshaota nyasi
Hapana mzee, FAM amewaachia watoto wembe wauchezee kwanza, wakishajeruhiwa watamrudishia na samahani nyingi, anajua tu wataurudisha soon, kwa sasa tupo na Lissu.
 
Hapana mzee, FAM amewaachia watoto wembe wauchezee kwanza, wakishajeruhiwa watamrudishia na samahani nyingi, anajua tu wataurudisha soon, kwa sasa tupo na Lissu.
We humjui mbowe.
Nilikuwa nampenda sana zaidi yako. Basi tu.
 
Sultan mbowe bin king'ang'anizi ana asili ya Mugabe the autocrat, alijificha kwenye kiti cha chama
 
Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe atandoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul

Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!
Hili halitatokea
 
Uzuri ni kwamba Mbowe amekuwa kimya toka uchaguzi uiishe, kuna watu wanatamani sana aongee na wanamchokoza sana ila the man is very gentle.
 
Hata kwenye uchaguzi kuna watu humu waliamini hawezi kushindwa na Lissu.
Yote yanawezekana ila sidhani kama itakuwa move nzuri kwa chama tawala. Kuhama kwake kukitokea basi kutampa nguvu TAL. Ila ni ngumu kwa muasisi kuhama chama chake labda ionekane wazi wamemuondoa
 
Ili chadema ipone,Nchemba amsaidie Mnyaturu mwenzake kupata fedha Kwa Siri.
 
Yaani ninaomba usiku na mchana afanye hivyo ili tujue wanaccm waliokuqa wanaihujumu cdm. Halafu wapewe jukwaaa moja na Msigwa kuhutubia. Ahakikishe anaenda na Covid19.
Yule wakili mliekuwa mnamuita shujaa na mdai bandari sasaivi anapiga kampeni kwa kwenda mbele...

Dr Slaa kaungana na CDM iliyokuwa inateka watu, na sasa tatizo kubwa kwake ni kuendelea kupambana na FAM.

Maombi yako kwa kias flani yanajibiwa kaka
 
Japokuwa hakuna lisilowezekana chini ya jua hili,mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini habari hizi. Kama Mbowe haitaki Chadema asingekubali kushindwa kwani CCM na dola waliwekeza nguvu kubwa kuhakikisha Mbowe anashinda lakini Mbowe aliweka maslahi ya Chadema mbele akakubali demokrasia ichukue mkondo wake.
 
FAM yupo kimya kabisa haami chama bali, anaangalia harakati zinazoendelea na kuona alikuwa anakosea wapi?, kabla hajaongeza nguvu mpya.
 
Hilo Mimi sijui na hata sina habari nalo, ninachojua tu ni kuwa Kuna mshamba flani atatema au kutemeshwa bungo muda si mrefu.
 
Yule ni bussiness man! Ana vitega uchumi vyake ndani na nje ya nchi.
Sasa anatamani kwenda huko kufanya nini?
Wafanyabiashara ndiyo pesa mbele,lolote linawezekana kama kuna pesa huko.
 
Kwa Mbowe,lolote linawezekana ni muumini wa maokoto mbele.
 
Back
Top Bottom