Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Hapana mzee, FAM amewaachia watoto wembe wauchezee kwanza, wakishajeruhiwa watamrudishia na samahani nyingi, anajua tu wataurudisha soon, kwa sasa tupo na Lissu.Anaweza maana mahali pakulia pameshaota nyasi