mozilla
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 770
- 1,222
Hivi unajua kwanini marais wengi wa Afrika ambao walipigania uhuru baada ya ya uhuru walikuwa hawataki kuachia madaraka? Ni kwa sababu akili zao na mawazo yao ni kama ya Mbowe na mnaomuunga mkono. Mnaona yuko entitled kuwa pale maisha, yani ni kama vile chama ni cha kwake.
Ndiyo maana hata wakina Mugabe walikuwa wanaona kuachia madaraka haiwezekani maana ni kama vile wanayaacha kwa watu wengine ambao ni wakuja wakati wao ndiyo waliopigania uhuru.
Ni jambo la busara na la maana knowing when to quit.
Ukifanya jambo jema, jua ni muda gani wa kuquit otherwise binadamu wana tabia ya kusahau mazuri yote ukianza kuwaboa.
Kina Museveni, alafu wapambe waliokuzunguka ndio wabaya sana, wanakujaza ujinga tu, hawaoni hata katika football, Sir Alex Ferguson alistaafu wakati mashabiki wa Man utd bado wanamuitaji, ila leo bado ni hero kwa UTD Fans