Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

Katibu baraza la maasikofu Katoliki alisha jibu hoja dhaifu kama hizi mapolisi walivyo wa kamata wanachama kanisani Kule Mwanza naleo badonahangaika na hili. Vipi Mbowe kavaa sale za chama gani.

Acha ushamba.
 
Siku zote Mbowe huwa anaponzwa na vinyago alivyovichonga mwenyew (genge lake). Afu yakimkuta anaanza kutia tia huruma huku genge lake likitumia fursa ya kifungo chake kushonesha na kuuza fulana Mbowe sio gaidi nk. Ashasahau kuwa kila mchuma janga hula na wa kwao.
 
Kuna watu hawana shukrani, mama asipoangalia atapata tabu na uraisi atauona mgumu sana. Amuulize mkwere walivyomsumbua kwa vijisababu vya kipuuzi kila siku. Kuna watu hawahitaji kuchekewa hata sekunde...
Mama hajaliona hili!..mama ajue hao wapo kazini na lengo Lao ni kumfelisha yeye na urais wake ili wao wapate cha kufanyia kazi huku mama akidhani kuwa anawatendea vyema!..
 
Wewe ndo mtaalamu wa biblia kuliko Askofu Shoo?

Acha uchawa
 
Kuna tatizo gani jimbo la kanisa au dini yoyote kutumiwa na wanasiasa??
 
Kuna watu hawana shukrani, mama asipoangalia atapata tabu na uraisi atauona mgumu sana. Amuulize mkwere walivyomsumbua kwa vijisababu vya kipuuzi kila siku. Kuna watu hawahitaji kuchekewa hata sekunde...

Roho imewauma kwa mapokezi ya Mbowe na jinsi anavyokubalika.

Magufuli alitaka akubalike kuliko wapinzani ndio maana alikuwa anaona wivu wapinzani wakipata watu wengi.

Mbowe kwenda kanisani amemsumbua mama kwa kipi, au hamkutaka aende kanisani?

Alipofika huko kanisani amegawa kadi za cdm au kueneza sera za cdm?

Ameomba kura huko kanisani? Wivu utawatesa kupita maelezo.

Jana yanga wamevaa jezi zenye picha ya mama Samia, toka lini michezo ikachanganywa na siasa?

Je, kitendo cha yanga kuvaa hizo jezi wamemsumbua nani?
 
Kama anaendelea na Siasa zake za kumdhihaki na kumdhalilisha Magufuli (RIP) hafiki popote labda tu kama anatafuta Ubunge wa Hai lkn kama ni kwa Tanzania nzima, no chance!

Wewe unaongea Kama Nani?. Huyo Magufuri wako na dhihaka kwa CHADEMA amefika wapi?
 

Acheni usumbufu.

Kama hamtaki vyama vya upinzani si mpige marufuku mfumo wa vyama vingi. Bunge limejaa CCM si mkabadilishe sheria.
 

Huyo Magufuri aliishia wapi?. Alikufa kimya kimya. Yet alijifanya mwamba ila akaiacha Tanzania.
 
Unakatwa na majini huogi [emoji706][emoji706][emoji2][emoji2][emoji2]
 

Nakushauri washauri wabunge wa CCM wakabadili sheria turudi kwenye mfumo wa chama kimoja maana imekuwa dhambi mpinzani kwenda kwenye ibada.
 

Mbunge Saashisha Mafue utapata shida sana , hadi ifike 2025.​

Samia msikitini huwa haendi na haonekani.​

Pia Ukumbuke uliiba Kura na manukau sana Sabaya.​

 
MBONA JUZI CHATO KUNA WANACCM WALITINGA NA MAVAZI YA KIJANI AU WAO WANARUHUSIWA?
 
Mama hajaliona hili!..mama ajue hao wapo kazini na lengo Lao ni kumfelisha yeye na urais wake ili wao wapate cha kufanyia kazi huku mama akidhani kuwa anawatendea vyema!..

Pamoja na tozo,Kodi na mikopo ya nje mama atatelishwaje?. Mafuta ya kula yapo juu mama amefelishwaje na upinzani?.

Yeye afanye majukumu yake upinzani ufanye ya kwake. Kama hampendi upinzani kutoka moyoni nendeni bungeni mkabadilishe sheria turudi kwenye chama kimoja.
 
Kwani katiba inasemaje?Tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…