Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama hajaliona hili!..mama ajue hao wapo kazini na lengo Lao ni kumfelisha yeye na urais wake ili wao wapate cha kufanyia kazi huku mama akidhani kuwa anawatendea vyema!..Kuna watu hawana shukrani, mama asipoangalia atapata tabu na uraisi atauona mgumu sana. Amuulize mkwere walivyomsumbua kwa vijisababu vya kipuuzi kila siku. Kuna watu hawahitaji kuchekewa hata sekunde...
Kuna watu hawana shukrani, mama asipoangalia atapata tabu na uraisi atauona mgumu sana. Amuulize mkwere walivyomsumbua kwa vijisababu vya kipuuzi kila siku. Kuna watu hawahitaji kuchekewa hata sekunde...
Kama anaendelea na Siasa zake za kumdhihaki na kumdhalilisha Magufuli (RIP) hafiki popote labda tu kama anatafuta Ubunge wa Hai lkn kama ni kwa Tanzania nzima, no chance!
Huwezi kufanikiwa na nia ovu.Muda ni Mwl mzuri. Huyu gaidi lazima afungwe tu.
Muda ni Mwl mzuri. Huyu gaidi lazima afungwe tu.
Kuna watu hawana shukrani, mama asipoangalia atapata tabu na uraisi atauona mgumu sana. Amuulize mkwere walivyomsumbua kwa vijisababu vya kipuuzi kila siku. Kuna watu hawahitaji kuchekewa hata sekunde.....watakusumbua mno. Katika hili jpm alinifurahisha sana, ilikuwa anawatwanga mabanzi tu kila wanapotaka kumsumbua na hatimaye akafanya mambo yake kwa uhuru kabisa.
kama kuwaacha huru wapinzani wafanye watakavyo ndiyo maendeleo, basi tungeendelea sana kipindi cha kikwete, lkn ona sasa nyuzi za kumpondea kilwete kila siku. Kama kupewa uhuru ndiyo kupendwa na kuheshimiwa na kina mbowe na genge lake, basi kikwete wangemheshimu sana lakini hebu kumbuka jinsi walivyomdhalilisha.
Hapo siku si nyingi atawaita na wale misukule‐viongozi wake waliopo kule nje waje waungane na kumsumbua huyu mama yetu.......linakuja hili.
Kuna maaana gani kumchekea mtu anayekuharibia kila ufanyacho, tena kwa makusudi?!!!
Hao jamaa sio; ukicheza na mbwa atakufuata msikitini!!!
Mbowe ana kihere here

Siku zote Mbowe huwa anaponzwa na vinyago alivyovichonga mwenyew (genge lake). Afu yakimkuta anaanza kutia tia huruma huku genge lake likitumia fursa ya kifungo chake kushonesha na kuuza fulana Mbowe sio gaidi nk. Ashasahau kuwa kila mchuma janga hula na wa kwao.
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA
Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame
Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako
1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)
Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa
Mytake
1. Hivi leo mwenyekiti wa ccm Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa ccm hivi dunia itasema nini?
2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea
USHAURI KWA KANISA KKKT
1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya
-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo
- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?
2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all
3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?
USHAURI KWA MBOWE
Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari
USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA
Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema
Nyuki kamwe hakumbatiwi
Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022
View attachment 2158282
View attachment 2158283
View attachment 2158284
View attachment 2158285
MBONA JUZI CHATO KUNA WANACCM WALITINGA NA MAVAZI YA KIJANI AU WAO WANARUHUSIWA?FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA

Mama hajaliona hili!..mama ajue hao wapo kazini na lengo Lao ni kumfelisha yeye na urais wake ili wao wapate cha kufanyia kazi huku mama akidhani kuwa anawatendea vyema!..