Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mtaijua kweli nayo hiyo kweli itawaweka huru, nanyi mtakuwa huru kweli kweli.hakuna kifungu cha bible kilichokataza kuvaa bukta kanisani
Bila kusahau Mitoo na mapinigesi mwagito!Pamoja na matangadasi,mifudu na mikusu.😂😂😂
chadema siku zote kimekuwa chama cha walutherani wa kaskazini na wachaga.Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini...
Alienda na wanaccm wenye sare?Jana Makamu wa Rais Mh. Mpango alikuwa Kanisa Katoliki la Bukoba Cathedral hakuna tabu sio mwanasiasa?
Mwenda kuzimu alikuwa anafanyaje kipindi kile?Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame...
Usijipe moyo kwa jambo la kufikirika tu.Kama anaendelea na Siasa zake za kumdhihaki na kumdhalilisha Magufuli (RIP) hafiki popote labda tu kama anatafuta Ubunge wa Hai lkn kama ni kwa Tanzania nzima, no chance!
Wewe unaugojwa wa chagademia tulionao huku hawana lolote kuna wapumbavu kama huko kwenuhUjamuelewa Mbowe. Mbowe anafahamu mtaji wake mkuu ni ukabila! Tatizo lake ana uduni wa ufahamu kwamba hataweza kushinda uchaguzi bila makabila mengine. Aliwahi kuropoka kwamba wakati wa Magufuli wachaga hawakuajiliwa serikalini, wakati anafahamu ajira kuu ilikuwa ni ualimu na Kilimanjaro mashuleni wamejaa wachaga tu! He is just a hopeless guy!
Unauza viloba vitatu unapata hela ya kupigia mdindifu.Mgaya siida hela!Bila kusahau Mitoo na mapinigesi mwagito!
Umenena UKWELI ila sio kwa Nyumbu wa Ufipa mkuu.FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA
Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa...
KivipiYaaani huyu jamaa sheeda kanisa hili liko majaribuni
Kwan huwa kuna nguo maalum za kuendea kanisani na kuna baadhi ya nguo haziruhusiw kuingia nazo kanisani?FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA
Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini...
Hivi pale Mbeya walioingia na sare za CHADEMA waliingia kanisa gani wakati wa sakata la Mbowe na Mwamakula kukamatwa?Kwa hiyo kanisa katoliki unataka kulinganisha na uozo wenu wa kuingia na share kanisani.Watanzania wanaona.Na wahakikishia baada ya 2025 ACT ndiyo atawaongoza wapinzani.Chagadema poleni
Mpuuzi mleta mada, ibada ya kushukuru yeyote anakusindikiza. eti mavazi yenye uchaji...kenge kweli....mavazi ndio yana ibadaLeo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika...
Pamoja mwezako div o anafahamika duniani akiwa anaitwa Freeman aikael mbowe jina kamili lakini wewe una division 1 hujulikani unaitwa NaniOneni Form 6 Div 0 invyosumbua watu, yaani Mbowe anaona watu wajinga jinga kama Div 0 vile.