Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini...
chadema siku zote kimekuwa chama cha walutherani wa kaskazini na wachaga.

ujue kilimanjaro, lutheran ndio ipo kwa wamachame sana, ukienda rombo na kibosho huko ni catholics.

Na shoo siku zote ameonyesha wazi kwamba yeye anaunga mkono chadema kwasababu tu ni chama cha wamachame.

this is too bad. nafikiri walutheran wa maeneo mengine wajitenge na jambo hilo kwasababu hata hivyo niijuavyo lutheran, kwa Tanzania ina watu wengi mbeya, iringa na bukoba ukiondoa hao wa kilimanjaro.
 
Kama anaendelea na Siasa zake za kumdhihaki na kumdhalilisha Magufuli (RIP) hafiki popote labda tu kama anatafuta Ubunge wa Hai lkn kama ni kwa Tanzania nzima, no chance!
Usijipe moyo kwa jambo la kufikirika tu.

Magufuli angekubalika kiasi hicho asingehangaika vile na kutaka kuondoa roho za watu wasiokubaliana naye, na kufanya uharifu katika juhudi za kuondoa upinzani.

Upinzani ungejifia wenyewe kama Magufuli angekuwa anakubalika kiasi hicho unachoamini wewe.
 
Kerubi wanachekelea na kusema hata Jembe Jiwe alikua anafanya vile.

Kumbe walikua wanatamani matendo yake
 
hUjamuelewa Mbowe. Mbowe anafahamu mtaji wake mkuu ni ukabila! Tatizo lake ana uduni wa ufahamu kwamba hataweza kushinda uchaguzi bila makabila mengine. Aliwahi kuropoka kwamba wakati wa Magufuli wachaga hawakuajiliwa serikalini, wakati anafahamu ajira kuu ilikuwa ni ualimu na Kilimanjaro mashuleni wamejaa wachaga tu! He is just a hopeless guy!
Wewe unaugojwa wa chagademia tulionao huku hawana lolote kuna wapumbavu kama huko kwenu
 
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA

Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa...
Umenena UKWELI ila sio kwa Nyumbu wa Ufipa mkuu.

Nyumbu wanabaki kuwa Nyumbu tu.
 
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA

Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini...
Kwan huwa kuna nguo maalum za kuendea kanisani na kuna baadhi ya nguo haziruhusiw kuingia nazo kanisani?
 
Kwa hiyo kanisa katoliki unataka kulinganisha na uozo wenu wa kuingia na share kanisani.Watanzania wanaona.Na wahakikishia baada ya 2025 ACT ndiyo atawaongoza wapinzani.Chagadema poleni
Hivi pale Mbeya walioingia na sare za CHADEMA waliingia kanisa gani wakati wa sakata la Mbowe na Mwamakula kukamatwa?
 
Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika...
Mpuuzi mleta mada, ibada ya kushukuru yeyote anakusindikiza. eti mavazi yenye uchaji...kenge kweli....mavazi ndio yana ibada
 
Oneni Form 6 Div 0 invyosumbua watu, yaani Mbowe anaona watu wajinga jinga kama Div 0 vile.
Pamoja mwezako div o anafahamika duniani akiwa anaitwa Freeman aikael mbowe jina kamili lakini wewe una division 1 hujulikani unaitwa Nani

Ukiachana na Hilo PhD serikalini zinahaha kudhibiti werevu wa mwamba hapo
 
Back
Top Bottom