makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Naheshimu sana maoni yako! Na umenifungua macho.Sasa wajumbe unafki wao ni upi? Unadhani hawa wapiga domo hapa kuna mpiga kura? Wenye shughuri yao wapo kimya.
Hivi kwa akili yako unaona Mbowe hana akili aingie kwenye uchaguzi bila research?
Uchaguzi ulianza mikoani na majimboni, tarehe 21 ni hitimisho tu huwezi kubadili mitandao ya watu waliotengeneza mpango kazi wao kitambo.
Nitaitunza hii ... Maana Kuna hoja nzito umeweka hapa! Ikitokea Mbowe ameshinda huu uchaguzi nitahitaji maelezo yako ya kina ili kujifunza zaidi juu ya hii hoja yako ya msingi.
Kama unalosema ni kweli na litatokea! Basi nitakuwa nimejifunza kuwa hakuna maana na faida kuwana ushindi na wafuasi wa mtandaoni kuliko kwenye box la Kura!
This is so fascinating ... Nimeipenda ulivyo argue kwa hoja.
Natunza hii! Japo Bado Nina amini Lissu anatashida
