Pre GE2025 Mbowe: Lissu kusema hajui nilichozungumza na Rais ni Umbea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naheshimu sana maoni yako! Na umenifungua macho.

Nitaitunza hii ... Maana Kuna hoja nzito umeweka hapa! Ikitokea Mbowe ameshinda huu uchaguzi nitahitaji maelezo yako ya kina ili kujifunza zaidi juu ya hii hoja yako ya msingi.

Kama unalosema ni kweli na litatokea! Basi nitakuwa nimejifunza kuwa hakuna maana na faida kuwana ushindi na wafuasi wa mtandaoni kuliko kwenye box la Kura!

This is so fascinating ... Nimeipenda ulivyo argue kwa hoja.

Natunza hii! Japo Bado Nina amini Lissu anatashida
 
Kama unaenda Ikulu unaongea na Rais halafu ukiulizwa unasema ni siri yako sasa unataka makamu wako apige ramli.🤔
Bowe kaishapoteana.. Bowe anachezea mziki wa TL 😅😅
Kaingia kwenye 18 za Lisu mazima mazima
 
Lemma huko uliko leo piga kichwani kabisa bado analeta mipasho huku.
 
Lisu hana karama ya uongozi.Akishinda Lisu kwa mara ya kwanza mwaka huu kura yangu kwa CCM diwani ,mbunge Hadi Rais
 
Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake. Wajumbe endeleeni kupeleka moto. Bado anapumua😀
 
Mbowe na Samia wamekutana. Wameongea. Hakuna hata mjumbe mwingine wa CDM aliyekuwepo. Unatoka (kama usemavyo) unawambia wenzako sehemu ndogo ktk yale mliyoongea. Mengine unasema ni siri yako na raisi. Ghafla tabia yako inabadilika. Unataka nani akuamini wewe Yuda.
 
Upinzani wa kweli nchi hii ni simba na yanga tu,,, huyo lissu kweli ni mbea ila mbowe nae wale wale tu wa amdala kumwita dula
 
Huyu anafikiri watanzania wajinga! Kama anajiona yupo sawa na mkweli kwa nini anakimbia mdahalo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…