Mbowe,Lissu,Mnyika wafanya kweli Kasulu, CCM wakili wanatisha

Mbowe,Lissu,Mnyika wafanya kweli Kasulu, CCM wakili wanatisha

Tunashukuru kwa taarifa ila kumbuka iyo tarehe ya kwenye camera kibadilisha mkuu.
 
KASULU SAAAAAAAAFI! Askari polisi hawana kinyongo wameshirikiana na Red Brigade mwanzo mwisho hakikuharibika kitu. 104_2975.JPG
 
Kasulu tunadumisha mila yetu, akinamama wakiwa wamebeba NDUMANE(local hotpot) kuwaaga Mbowe,Lissu, Mnyika104_2966.JPG
 
Hakuna kinachoshinda nguvu ya umma
hadi kieleweke.

Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.

Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?

peleka umbea wako huko,wakat ccm wanafanya hvo ulikuwa wapi?
 
Mbona picha zinaonesha ni za 2008? Ama camera set up haikuwa vizuri?
 
Pole kwa ndugu zangu wanya Gasulo,hivi kweli nanyi mnakubali kutawaliwa kifikra na watu kutoka Kanda Kaskazini kweli???????????????

Chadema waliwafukuza KAFULILA,wakataka kumfukuza ZITO na wengineo kwa kuwa walionyesha uwezo wa kutawala na jamaa hawa wa KASKAZINI hawakuwa tayari kuonyesha DEMOKRASIA leo hii wanakuja KASULU,KIBONDO na bado mnawapa ushirikiano kiasi hicho,IMANI inanitoka na inaonyrsha ni kiasi gani sisi watu wa KGM hatuwezi kupambanua MAMBO ndo MAANA TUNALALAMIKA tuko nyuma kwa kuwa hata MAADUI ZETU AMBAO WAMEONYESHA KUTUFITINI na bado tumewawakaribisha kama WASHINGATAHE,KWA KWELI tutaendelea kuwa usingizini mpaka DUNIA ifikie mwisho mm nilidhani tumeanza kuamka,TULAHEZE KABISA
 
picha ya bigabiga na suti nyeusi kweli alikuwa amejiandaa kupokea makamanda. Peopoozzz!
 
Pole kwa ndugu zangu
wanya Gasulo,hivi kweli nanyi mnakubali kutawaliwa kifikra na watu
kutoka Kanda Kaskazini kweli???????????????

Chadema waliwafukuza KAFULILA,wakataka kumfukuza ZITO na wengineo kwa
kuwa walionyesha uwezo wa kutawala na jamaa hawa wa KASKAZINI hawakuwa
tayari kuonyesha DEMOKRASIA leo hii wanakuja KASULU,KIBONDO na bado
mnawapa ushirikiano kiasi hicho,IMANI inanitoka na inaonyrsha ni kiasi
gani sisi watu wa KGM hatuwezi kupambanua MAMBO ndo MAANA TUNALALAMIKA
tuko nyuma kwa kuwa hata MAADUI ZETU AMBAO WAMEONYESHA KUTUFITINI na
bado tumewawakaribisha kama WASHINGATAHE,KWA KWELI tutaendelea kuwa
usingizini mpaka DUNIA ifikie mwisho mm nilidhani tumeanza
kuamka,TULAHEZE KABISA

ukabila karne hii? dunia inakwenda kwa haraka kwenda mbele we unarudi nyuma, unapishana nayo na kwahiyo huwezi kuelewa
 
Pole kwa ndugu zangu wanya Gasulo,hivi kweli nanyi mnakubali kutawaliwa kifikra na watu kutoka Kanda Kaskazini kweli???????????????

Chadema waliwafukuza KAFULILA,wakataka kumfukuza ZITO na wengineo kwa kuwa walionyesha uwezo wa kutawala na jamaa hawa wa KASKAZINI hawakuwa tayari kuonyesha DEMOKRASIA leo hii wanakuja KASULU,KIBONDO na bado mnawapa ushirikiano kiasi hicho,IMANI inanitoka na inaonyrsha ni kiasi gani sisi watu wa KGM hatuwezi kupambanua MAMBO ndo MAANA TUNALALAMIKA tuko nyuma kwa kuwa hata MAADUI ZETU AMBAO WAMEONYESHA KUTUFITINI na bado tumewawakaribisha kama WASHINGATAHE,KWA KWELI tutaendelea kuwa usingizini mpaka DUNIA ifikie mwisho mm nilidhani tumeanza kuamka,TULAHEZE KABISA

Ubhonekala ubwenge bwawe ni bhutoyi! Sisi watu wa Kasulu siyo wajinga kama unavyotaka tuwe. Ninasikitika sana kuwa bado tunao wapuuzi kama wewe. Akina Mbwliza, Mpambije, nsanzugwanko walitusaidia nini? Hivi ccm yako(au whatever) bado mnataka tuwape thamani? Muha unaleta ubaguzi wa kijinga? Kasulu ina madiwani wangapi wa Chadema? Hao ni wa kaskazini? Uheze ulumwe cane!
 
huku ni kupoteza pesa tu bure na kuiba hela za posho.

maoni yameshakusanywa na tume ya katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

hivi kila chama kikifanya uhuni huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?

hii umecopy na kupaste maana hata kwenye uzi wa dr slaa, akiwa dodoma umechangia hiki, neno kwa neno! Wakati chama cha mabwepande kimelala wenzao cdm wanazunguka tanzania nzima kuimarisha chama kwa mgongo wa katiba mpya!
 
Huku ni kupoteza pesa tu BURE na kuiba hela za Posho.

Maoni yameshakusanywa na Tume ya Katiba. Haya mengine ni magumashi tu ya kupiga hela.

Hivi kila chama kikifanya UHUNI huu, pesa ngapi za walipa kodi zitapotea?

Tehe!
Mnatamani kujificha baada ya mradi wa serikali mbili kukwama siyo?!
 
Ubhonekala ubwenge bwawe ni bhutoyi! Sisi watu wa Kasulu siyo wajinga kama unavyotaka tuwe. Ninasikitika sana kuwa bado tunao wapuuzi kama wewe. Akina Mbwliza, Mpambije, nsanzugwanko walitusaidia nini? Hivi ccm yako(au whatever) bado mnataka tuwape thamani? Muha unaleta ubaguzi wa kijinga? Kasulu ina madiwani wangapi wa Chadema? Hao ni wa kaskazini? Uheze ulumwe cane!

KASINGE muno!
Huyo Muha ni kati ya wale wajinga waliosalia!
Waha ni watu smart si kama huyu BIDYABALAVYE uliyemjibu!
 
Back
Top Bottom