Elimu ya hapa na pale
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 846
- 825
Hao jamaaa wanagundu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe na mjumbe wa kamati kuu ya chadema,leo wametoka kwa aibu kubwa uwanja wa Taifa baada ya timu wanayoishabikia,YANGA kupigwa bao mbili kwa moja na SIMBA
.Mbowe ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Yanga akiongozana na Lowassa ambaye ni swahiba mkubwa wa Manji,walitegemea ushindi leo,ili watengeneze sinema pale pale uwanjani,ambapo ilipangwa bavicha wawarushie kadi na fulana za ccm,kuonesha kuwa eti ccm inamuonea Manji.
Mkakati huu ulikufa baada ya Yanga kupigwa bao la pili ambapo picha zilimuonesha Lowassa kazubaa kama vile haamini kinachotokea.
Chadema msipende kufanya siasa za matukio
Punguza njaa mkuu Lowassa ni mnazi wa Msimbazi.Msipotezee mada mwambieni Makonda tunataka cheti anaitwa Daudi Bashite eti leo wa kujiita PauloMwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe na mjumbe wa kamati kuu ya chadema,leo wametoka kwa aibu kubwa uwanja wa Taifa baada ya timu wanayoishabikia,YANGA kupigwa bao mbili kwa moja na SIMBA
.Mbowe ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Yanga akiongozana na Lowassa ambaye ni swahiba mkubwa wa Manji,walitegemea ushindi leo,ili watengeneze sinema pale pale uwanjani,ambapo ilipangwa bavicha wawarushie kadi na fulana za ccm,kuonesha kuwa eti ccm inamuonea Manji.
Mkakati huu ulikufa baada ya Yanga kupigwa bao la pili ambapo picha zilimuonesha Lowassa kazubaa kama vile haamini kinachotokea.
Chadema msipende kufanya siasa za matukio
Ndoa imevunjika leo mkuuLOWASSA SIMBA DAMU DAMU YANGA NI CHAMA CHA CCM
OK ni simba, lakini ni mara ngapi ameonekana uwanjani simba inapocheza?! Kuna kitu kilipangwaLowassa ni Simba wewe
teh teh...Simba gani anayefanana na ng'ombe.
[emoji2] [emoji3] [emoji3]Punguza njaa mkuu Lowassa ni mnazi wa Msimbazi.Msipotezee mada mwambieni Makonda tunataka cheti anaitwa Daudi Bashite eti leo wa kujiita Paulo
Wewe unaemshutumu Makonda ndio unatakiwa ututhibitishie kuwa anaitwa Daudi.Unamtuhumu mtu halafu unataka yeye alete ushahidi umeona wapi hiyoPunguza njaa mkuu Lowassa ni mnazi wa Msimbazi.Msipotezee mada mwambieni Makonda tunataka cheti anaitwa Daudi Bashite eti leo wa kujiita Paulo
Fisadi papaLowassa ni Simba wewe