Mbowe, Lowassa watoka vichwa chini Uwanja wa Taifa baada ya Yanga kufungwa

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe na mjumbe wa kamati kuu ya chadema,leo wametoka kwa aibu kubwa uwanja wa Taifa baada ya timu wanayoishabikia,YANGA kupigwa bao mbili kwa moja na SIMBA
.Mbowe ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Yanga akiongozana na Lowassa ambaye ni swahiba mkubwa wa Manji,walitegemea ushindi leo,ili watengeneze sinema pale pale uwanjani,ambapo ilipangwa bavicha wawarushie kadi na fulana za ccm,kuonesha kuwa eti ccm inamuonea Manji.
Mkakati huu ulikufa baada ya Yanga kupigwa bao la pili ambapo picha zilimuonesha Lowassa kazubaa kama vile haamini kinachotokea.
Chadema msipende kufanya siasa za matukio
Hivi wewe kwa mawazo yako ulizani wako pale kwa ajiri ya eti kushangilia kuws yanga itashinda au??! Walikuwa pale kimkakati unaona lowasa alipowapungia watu mikono?!! Waliitikia nini??!! Ila kwa akili za faru john huwezi jua hilo!! Nakuambia baada ya siku chache utasikia tamko,, ukiwa na mwili wa tembo wakati ubongo ni wa sungura ni shida sana!! Utakapokutana na wenye mwili wa siafu ubongo wa tembo!!!! Akili nyingi nguvu kidogo tu.
 
Wewe unaemshutumu Makonda ndio unatakiwa ututhibitishie kuwa anaitwa Daudi.Unamtuhumu mtu halafu unataka yeye alete ushahidi umeona wapi hiyo
Yeye anatuhumiwa ni kazi ndogo tu kukanusha
 
Hivi wewe kwa mawazo yako ulizani wako pale kwa ajiri ya eti kushangilia kuws yanga itashinda au??! Walikuwa pale kimkakati unaona lowasa alipowapungia watu mikono?!! Waliitikia nini??!! Ila kwa akili za faru john huwezi jua hilo!! Nakuambia baada ya siku chache utasikia tamko,, ukiwa na mwili wa tembo wakati ubongo ni wa sungura ni shida sana!! Utakapokutana na wenye mwili wa siafu ubongo wa tembo!!!! Akili nyingi nguvu kidogo tu.
Mkuu nijuze alipowasalimia watu waliichukuliaje nimechelewa kuingia uwanjani nimeingia game inaanza.Najilaumu nimekosa uhondo
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe na mjumbe wa kamati kuu ya chadema,leo wametoka kwa aibu kubwa uwanja wa Taifa baada ya timu wanayoishabikia,YANGA kupigwa bao mbili kwa moja na SIMBA
.Mbowe ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Yanga akiongozana na Lowassa ambaye ni swahiba mkubwa wa Manji,walitegemea ushindi leo,ili watengeneze sinema pale pale uwanjani,ambapo ilipangwa bavicha wawarushie kadi na fulana za ccm,kuonesha kuwa eti ccm inamuonea Manji.
Mkakati huu ulikufa baada ya Yanga kupigwa bao la pili ambapo picha zilimuonesha Lowassa kazubaa kama vile haamini kinachotokea.
Chadema msipende kufanya siasa za matukio
Taja wote, mbona ridh1 hujamtaja ambae ni mnazi wa yanga..
Kiufup mashabk wao wengi ni ccm...!
Hapo ccm wamekalia moto, siyo mwigul mpaka mzee wa msoga!
 
OK ni simba, lakini ni mara ngapi ameonekana uwanjani simba inapocheza?! Kuna kitu kilipangwa
Hawa vijana hawaeleweki. Wangeshinda Yanga leo ungewasikia wanasema Lowassa ni Yanga damu damu.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe na mjumbe wa kamati kuu ya chadema,leo wametoka kwa aibu kubwa uwanja wa Taifa baada ya timu wanayoishabikia,YANGA kupigwa bao mbili kwa moja na SIMBA
.Mbowe ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Yanga akiongozana na Lowassa ambaye ni swahiba mkubwa wa Manji,walitegemea ushindi leo,ili watengeneze sinema pale pale uwanjani,ambapo ilipangwa bavicha wawarushie kadi na fulana za ccm,kuonesha kuwa eti ccm inamuonea Manji.
Mkakati huu ulikufa baada ya Yanga kupigwa bao la pili ambapo picha zilimuonesha Lowassa kazubaa kama vile haamini kinachotokea.
Chadema msipende kufanya siasa za matukio
Wangewarushia kutoka wapi? Acha ushambenga!!
 
Ccm mmepata pa kusemea ! Mbona Manji alipokua akiisaidia ccm Haya yote tulikua hatuyackii ? Ccm ikisaidiwa Manji anakua mzaramo au mmakonde.akimsaidia mbaya wa ccm tu, anakua muhundi halic na passport zote za watumishi zina onyeshwa kwe luninga ! Mmezoea kubebwa mno,kujitegemea kwemu ni km adhabu,hivyo mnatafuta kila njia ya kukashifu,kutukana na kunajic majina na nyadhifa za watu tu pale mnapoona wamewaacha.kuweni tu na ustaarabu wa kiutu,kujua hii nchi ni ya vyama vingi.na kila mmoja anahaki ya kuwaza,kutenda,kuchagua,kusema nakubadili mtazamo kwa majira na wakati anauina ni mwafaka kwake.hivyo mcjenge uadui na umma wa watanzania kwakisa cha micmamo na mitazamo yao.kwa jinc ccm mnavyenda mtabaki Hamna mwanachama mwenye mapenzi na chama,ila mtabaki na wanachama wenye hofu,ama ya kuuwawa,kunyanganywa Mali,au kubambikwa kec nzito sana.muda ni mwl.ngoja tusubiri muda utatoa somo gani.
 
Mkuu nijuze alipowasalimia watu waliichukuliaje nimechelewa kuingia uwanjani nimeingia game inaanza.Najilaumu nimekosa uhondo
Alipofika jukwaani akasalimia mashabiki wa majukwaa yote watu wakaanza kunyoosha vidole vile vya salam ya chadema huku wakisema UKAWA!! Jamaa ana mvuto wa kipekee tuache unafiki!!! Ndio maana lazima. Yule akose amani kabisa.
 
Siasa za chuki zimekuzunguka, kwani wao hawastahili kusocialize? Au unafikiri kila mtu ni anti social? Ina maana we hukuwa na timu pale au ulikuwa unafuatilia siasa? Mavi yako

Sasa wewe umefikaje jf na lugha za kitoto tena mbaya zaidi inaonekena hilo ni jambo linalokugusa sana. Walatin wanasema Nemo dat quod non habet --- huwezi kutoa kitu ambacho huna ...ila pamoja na yote wanasiasa wajanja sana hawawezi fanya jambo public bila malengo. Kumbuka watu wengi wanamshabikia manji ambaye alipingwa sana kipindi cha JK. Ila sasa jamaa wamenusa wanatujua tulivyo dimwitted so nafasi haziji mara mbili mbili .NAJIULIZA HIVI LINI BAADHI Ya wanachama wenzangu wa upinzani tutaacha kunywa viroba na Vya Arusha. Mana mtu akiwa na hoja kinyume na sisi tusi litakuja au kuona kaandika pumba. Why. Tena hawa wanaojifanya hapa matusi na wajuvi utakuta wanapigiwa wake zao hadharani yuko mpole. Au shuleni zero ninampamba tu. Mana haiwezekani uwe umeelimika au ushindwe kudiscus vitu in harmonious way.
 
Alipofika jukwaani akasalimia mashabiki wa majukwaa yote watu wakaanza kunyoosha vidole vile vya salam ya chadema huku wakisema UKAWA!! Jamaa ana mvuto wa kipekee tuache unafiki!!! Ndio maana lazima. Yule akose amani kabisa.
Nashukuru Mkuu
 
Sasa wewe umefikaje jf na lugha za kitoto tena mbaya zaidi inaonekena hilo ni jambo linalokugusa sana. Walatin wanasema Nemo dat quod non habet --- huwezi kutoa kitu ambacho huna ...ila pamoja na yote wanasiasa wajanja sana hawawezi fanya jambo public bila malengo. Kumbuka watu wengi wanamshabikia manji ambaye alipingwa sana kipindi cha JK. Ila sasa jamaa wamenusa wanatujua tulivyo dimwitted so nafasi haziji mara mbili mbili .NAJIULIZA HIVI LINI BAADHI Ya wanachama wenzangu wa upinzani tutaacha kunywa viroba na Vya Arusha. Mana mtu akiwa na hoja kinyume na sisi tusi litakuja au kuona kaandika pumba. Why. Tena hawa wanaojifanya hapa matusi na wajuvi utakuta wanapigiwa wake zao hadharani yuko mpole. Au shuleni zero ninampamba tu. Mana haiwezekani uwe umeelimika au ushindwe kudiscus vitu in harmonious way.
Nimekuelewa
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe na mjumbe wa kamati kuu ya chadema,leo wametoka kwa aibu kubwa uwanja wa Taifa baada ya timu wanayoishabikia,YANGA kupigwa bao mbili kwa moja na SIMBA
.Mbowe ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Yanga akiongozana na Lowassa ambaye ni swahiba mkubwa wa Manji,walitegemea ushindi leo,ili watengeneze sinema pale pale uwanjani,ambapo ilipangwa bavicha wawarushie kadi na fulana za ccm,kuonesha kuwa eti ccm inamuonea Manji.
Mkakati huu ulikufa baada ya Yanga kupigwa bao la pili ambapo picha zilimuonesha Lowassa kazubaa kama vile haamini kinachotokea.
Chadema msipende kufanya siasa za matukio
Lowassa ni Simba kama hujui uliza kwanza ndo uandike
 
Back
Top Bottom