Mbowe, Lowassa watoka vichwa chini Uwanja wa Taifa baada ya Yanga kufungwa


Nyau pori wewe. Makamanda ni Simba dam dam. Ulifikiri makamanda ni Mwigulu ambaye ni kocha msaidizi wa YANGA!!! Pumba ya mpunga we.
 
Reactions: PNC
Punguza njaa mkuu Lowassa ni mnazi wa Msimbazi.Msipotezee mada mwambieni Makonda tunataka cheti anaitwa Daudi Bashite eti leo wa kujiita Paulo
 
mleta mada wewe ni kiazi

RAIS WANGU LOWASA HAJAWAHI KUWA NDALA FC.
NA UJIO WAKE WA UWANJANI UMESABABISHA MNYAMA TUUE MTU
 
Mbowe ni damu damu na Manji klabu ya Yanga; vile vile wote ni watuhumiwa wa masuala ya ngada, patamu hapo.
 
Mnyama ni kitu kingine si wa kuchezea kabisaaaaaaaaa!
 
Hivi kuna tofauti kati ya yanga na SSM? hao ni dam dam
 
Punguza njaa mkuu Lowassa ni mnazi wa Msimbazi.Msipotezee mada mwambieni Makonda tunataka cheti anaitwa Daudi Bashite eti leo wa kujiita Paulo
Wewe unaemshutumu Makonda ndio unatakiwa ututhibitishie kuwa anaitwa Daudi.Unamtuhumu mtu halafu unataka yeye alete ushahidi umeona wapi hiyo
 
Weka picha tuone kama vichwa vyao viko chini
 
Kumbe EL ni Simba?! Basi kumbe tupo pamoja japo urais hauwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…