Mbona hatuambii amepewa nini na mama Abdul hadi makada wote wa CCM wanampigia debe. Amemtengenezea kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo au kiungo cha maisha, baada ya kushindwa kutengeneza ushahidi wa kumtia hatiani kaibukia ikulu kwa mama Abdul na sasa wamejiunga kumpiga vitu Tundu Lissu