Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kwa hiyo MBOWE akisema HAPANA ndio anawasemea WATANZANIA WOTE?...
Alisha waambia mkosoeni, ila iwe kiistarabu, ninyi hamjamkosoa, ni lazima atengeneze mazingira ya kuwapima kama mlimuelewa, si kwamba amewa ban, she knows what she is doing, she listens to what you say and respond in public"Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA. Yawezekana, wewe na washauri wako hamjaelewa maumivu tuliyopitia kwa miaka 5 ya mtangulizi wako!! Na ndiyo sababu tulikuomba sana utusikilize mapema!! Kauli hii leo inatulaza na machozi!! Very very sad!!"-Freeman Mbowe
Mdude Nyagali ametoka RUMANDE kwa huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan...
Huyu Lissu yeye kwao si Kenya na anaipenda sana Kenya na Uhuru Kenyata ndio maana 2017 alimpigia kampeni Kenyata badala ya Odinga sababu alikuwa urafiki na marahemu?
Sawa.....Acha kuandika ujinga wewe! Eti ametoka kwa huruma ya mama wakati hukumu inasema kwamba hakukuwa na ushahidi wa kumtia hatiani. Kwanini unaandika uongo kiasi hili kama vile wengine hatukusikia hukumu husika? Na nani aliyekudanganya huruma ya mama ndiyo iliwatoa masheikh wa uamsho!? Uwe unasikiliza kwa makini badala ya kuja hapa na kupindisha ukweli husika.
He is a deluded chap.....Huyu Lisu yeye kwao si kenya na anaipenda sana Kenya na Uhuru Kenyata ndio maana 2017 alimpigia kampeni kenyata badala ya odinga sababu alikuwa urafiki na marahemu?
Sawa.....
Mbona huko kukosekana kwa USHAHIDI WA KUWATIA HATIANI hakukuwepo kabla ya kuapishwa kwa mh.SSH?!...
Uzuri aliyewaweka ndani ni muislam mwenzao JK na aliyewatoa ndani ni muislam mwenzao Samia.Sawa.....
Mbona huko kukosekana kwa USHAHIDI WA KUWATIA HATIANI hakukuwepo kabla ya kuapishwa kwa mh.SSH?...
Wewe mwenye akili ndefu hujanifafanulia KINAGAUBAGA ya kwamba ni kwanini MARAIS WAWILI WAMEPITA bila ya mabadiliko YOYOTE kwa hao UAMSHO mpaka kipindi hiki?Kwa hiyo kwa akili yako fupi Samia ndiye aliyegundua kwamba hakukuwa na ushahidi wa kuwatia hatiani watuhumiwa? Samia tangu lini amekuwa lawyer? Na huo upelelezi kaufanya lini hadi lini ili kuhitimisha kwamba watuhumiwa hawana hatia...
Hawakuwekwa ndani kwa sababu ya Uislam.Uzuri aliyewaweka ndani ni muislam mwenzao JK na aliyewatoa ndani ni muislam mwenzao Samia.
Imeisha hio.
Takbiiiir.