mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Aliyewaweka ndani wenzake leo Yuko wapi mkuu?Fatah El Sisi alinyonga hao brotherhood 500,wengine akawa ananyonga kidogokidogo,walinyooka.
Hapa mama aliwadekeza akidhani atakuwa tofauti na Magufuli kwao,wakamsifu,nae akajihisi ashawashika.
Leo ngoja wamuoneshe kwanini Magufuli alikuwa anawasweka ndani kila siku.
Wanatabia ya kuwatisha viongozi,kuwafanya mazezeta wao.
Najua ipo siku atakiri hadharani kuwa hawa jamaa ni mzigo.
Sent using Jamii Forums mobile app