Wanasiasa hasa wa CDM wajitahidi kuishi kwa busara, nchi iko kwenye tension na utulivu 1unahitajika saaana kuliko tunavyofikiri...
wapo watu kazi yao kumwaga petrol kila penye moto na ukiwaka kuzimika itakuwa haiwezekani tena, huu utoto mnaoleta matokeo yake ni mabaya kuliko mnavyofikiri na tukiendelea na huu ujinga siku tutaikuta nchi imegawika vipande vipande hii...tensio ambayo nchi iko nayo kubwa sana baada ya kifo cha mzee hasa lile kundi kubwa la kanda ile halafu bado na nyie CDM mnakuja na yenu ( mnafikiri mtawawin wale jamaa wenye ajenda yao kule lake?)....