Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

"Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA. Yawezekana, wewe na washauri wako hamjaelewa maumivu tuliyopitia kwa miaka 5 ya mtangulizi wako!! Na ndiyo sababu tulikuomba sana utusikilize mapema!! Kauli hii leo inatulaza na machozi!! Very very sad!!"-Freeman Mbowe


E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Hahahahah kwani kilichomfanya mzee wa chato kuwapiga spana ni kitu gani? Imagine unafundisha darasa mbele halafu kuna wajinga kadhaa back benchaz wameanzisha kilinge wanapigishana story kiasi kwamba kunakosekana kusikilizana😂😂😂 wanavuruga utaratibu halafu wao kazi yao ni kusema tuna haki ya kuongea!
Ndio kilichotokea Na ndio kinachokwenda kutokea soon. Waache tu
 
Fungu la kumi hilo nalo achana nalo bana😅😅😅 yani unampelekea hela Mc Pilipili au Masanja mchekeshaji?

I would advise you to take the sum to orphanage centres!
Sisi waluther tuna kitu tunaita ahadi,huwa kila muumini anajiwekea ahadi ya kila mwaka!Hiyo ni nje na sadaka ya kawaida,kwahiyo kwasasa hata hilo fungu nimelipunguza kuendana na mabadiliko ya uchumi!!Mambo yakitengemaa nitarudi kwenye maisha yangu ya awali!
Hata bia,kwa sasa nakunywa safari au castle larger na si serengeti light!Maana vilight mpaka zinishike lazima nipige kuanzia 12!
 
Mdude Nyagali ametoka RUMANDE kwa huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......

Masheikh wa UAMSHO wanakula biriani mtaani kwa sababu ya huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......

Mbowe amefutiwa kesi yake na kurudishiwa milioni zake 300 kwa sababu ya huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......

Kwani MDUDE NA WENZAKE wangeendelea kukaa RUMANDE kingebadilika KIPI huku mitaani ?!!!!!!


#ChademaWameanzaKubeep
Unajitambua kweli wewe? La hasha eti huruma ya rais shame on you, kwa kifupi vyombo vyote vya serikali na visivyo vya serikali vili paralyse kwa sababu ya udikteka wa mshenzi yule mwendazake sasa vimeanza kujisimamia ina maana naye bi Mkubwa akileta akili kama za mwendazake vita paralyse tena ndio maana tunasisitiza katiba mpya ili kuweka mipaka.
 
Sisi waluther tuna kitu tunaita ahadi,huwa kila muumini anajiwekea ahadi ya kila mwaka!Hiyo ni nje na sadaka ya kawaida,kwahiyo kwasasa hata hilo fungu nimelipunguza kuendana na mabadiliko ya uchumi!!Mambo yakitengemaa nitarudi kwenye maisha yangu ya awali!
Hata bia,kwa sasa nakunywa safari au castle larger na si serengeti light!Maana vilight mpaka zinishike lazima nipige kuanzia 12!
Hahahahah unakula ngumu kumeza 😂😂😂 chupa 5 uko level!
 
Unajitambua kweli wewe? La hasha eti huruma ya rais shame on you, kwa kifupi vyombo vyote vya serikali na visivyo vya serikali vili paralyse kwa sababu ya udikteka wa mshenzi yule mwendazake sasa vimeanza kujisimamia ina maana naye bi Mkubwa akileta akili kama za mwendazake vita paralyse tena ndio maana tunasisitiza katiba mpya ili kuweka mipaka.
haisaidii mnapoteza muda wenu bure kafanyeni kazi mlishe familia zenu tu huo ushenzxi mnaoutaka haukubaliki na mtu yoyote
 
yaani mnataka nchi iendeshwe kwa kuwasikiliza CDM, Lissu na Mbowe..hahahaha..

Hii ni nchi aisee, chama kilichopo madarakani ni CCM na kitaongoza nchi kwa sera zake ambazo ilizinadi na waliozipenda waliwachagua...CDM ni chama cha siasa ambacho nacho kinawania kuingia madarakani na sera zake..

Ni vyema CDM mkajikita kunadi sera zetu pale mnapopata nafasi ili 2025 tukijaaliwa hizo sera zenu wananchi wakizielewa basi watawapa ridhaa ya kuongoza kwa sera zenu...hoja ya katiba mpya na mikutano ya kisiasa iwe hoja yenu kwa wananchi mkichaguliwa kuingia ikulu na sio kuwalazimisha CCM na hiyo hoja yenu..
 
Hebu tuambie,kipindi cha JK nchi ilikaribiaje kuwa a failed state?
Kwa kumbukumbu zangu hali ilikuwa shwari,pesa mifukoni ikawepo na ajira uhakika!
Sijui unazungumzia nchi gani hapa?
Kama inshu ni mzunguko wa pesa basi tuwe nchi wauza madawa ya kulevya, ya wakwepa kodi, ya wachuuzi wa bidhaa kutoka China, ya wajilipa posho pesa ya umma. Ndiyo nchi ilivyokuwa awamu ya nne, mwambie na Samia aifanye hivyo. Kama inshu ni pesa kuna namna nyingi za kupata pesa za bwerere kabisa.
 
Hahahah Chadema wanataka kuendeleza siasa zao za kiasi katika nchi ambayo ina taratibu zake na misingi toka ilipopata uhuru! Wameshaanza upuuzi kama zama za UKAWA [emoji23][emoji23][emoji23] sasa Samia aendelee kuwachekea aone kama ni rahisi ku deal na Psychs! Wa Msoga alijikita kwenye upigaji na vacations ndio maana alikuwa haathiriki sana na ujinga wao wkizidisha kelele wanapigwa vibahasha wanatulia! Magu yeye hakuwa na ujinga huo...
Aah tumuache bana anaupiga mwingi sana mama [emoji23][emoji23][emoji23] tuone kama kuna gari inaendeshwaga na madereva wawili wanaogombania usukani na ikafika salama. Mkiambiwa amiri jeshi ni mmoja ama kamanda ni mmoja always muwe mnaelewa!

Sasa ngoja tuone kama maneno pekee huwa yanatosha bila vitendo!
Yale yale tu, sahizi washaanza kumgeuka wapuuzi wale walioanza kwa mbwembwe...Mama anaupiga mwingi, mama mitano tena, mama tumpe umalikia yani Chadema ni kama watoto wadogo ukimnyima biskuti asioze meno anakuona adui!
Nakuonaga mpolee kumbe unajua kudemka namna hii!. jana usiku ulikunywa nini ukaamka nacho kichwani?!
 
Kwa hiyo MBOWE akisema HAPANA ndio anawasemea WATANZANIA WOTE?!!!

Hapana yake ni ya KIJINGA TU.....walisema HAPANA....na hawakutokea pale UBUNGO.....asimbabaishe mtu bana....

#KaziInaendelea

yaaani we jamaa unawaza kama PHD mmoja mkubwa ivi, umetisha!
 
Back
Top Bottom