Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Ndio kilichotokea Na ndio kinachokwenda kutokea soon. Waache tu
 
Fungu la kumi hilo nalo achana nalo banaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… yani unampelekea hela Mc Pilipili au Masanja mchekeshaji?

I would advise you to take the sum to orphanage centres!
Sisi waluther tuna kitu tunaita ahadi,huwa kila muumini anajiwekea ahadi ya kila mwaka!Hiyo ni nje na sadaka ya kawaida,kwahiyo kwasasa hata hilo fungu nimelipunguza kuendana na mabadiliko ya uchumi!!Mambo yakitengemaa nitarudi kwenye maisha yangu ya awali!
Hata bia,kwa sasa nakunywa safari au castle larger na si serengeti light!Maana vilight mpaka zinishike lazima nipige kuanzia 12!
 
Unajitambua kweli wewe? La hasha eti huruma ya rais shame on you, kwa kifupi vyombo vyote vya serikali na visivyo vya serikali vili paralyse kwa sababu ya udikteka wa mshenzi yule mwendazake sasa vimeanza kujisimamia ina maana naye bi Mkubwa akileta akili kama za mwendazake vita paralyse tena ndio maana tunasisitiza katiba mpya ili kuweka mipaka.
 
Hahahahah unakula ngumu kumeza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chupa 5 uko level!
 
haisaidii mnapoteza muda wenu bure kafanyeni kazi mlishe familia zenu tu huo ushenzxi mnaoutaka haukubaliki na mtu yoyote
 
yaani mnataka nchi iendeshwe kwa kuwasikiliza CDM, Lissu na Mbowe..hahahaha..

Hii ni nchi aisee, chama kilichopo madarakani ni CCM na kitaongoza nchi kwa sera zake ambazo ilizinadi na waliozipenda waliwachagua...CDM ni chama cha siasa ambacho nacho kinawania kuingia madarakani na sera zake..

Ni vyema CDM mkajikita kunadi sera zetu pale mnapopata nafasi ili 2025 tukijaaliwa hizo sera zenu wananchi wakizielewa basi watawapa ridhaa ya kuongoza kwa sera zenu...hoja ya katiba mpya na mikutano ya kisiasa iwe hoja yenu kwa wananchi mkichaguliwa kuingia ikulu na sio kuwalazimisha CCM na hiyo hoja yenu..
 
Hebu tuambie,kipindi cha JK nchi ilikaribiaje kuwa a failed state?
Kwa kumbukumbu zangu hali ilikuwa shwari,pesa mifukoni ikawepo na ajira uhakika!
Sijui unazungumzia nchi gani hapa?
Kama inshu ni mzunguko wa pesa basi tuwe nchi wauza madawa ya kulevya, ya wakwepa kodi, ya wachuuzi wa bidhaa kutoka China, ya wajilipa posho pesa ya umma. Ndiyo nchi ilivyokuwa awamu ya nne, mwambie na Samia aifanye hivyo. Kama inshu ni pesa kuna namna nyingi za kupata pesa za bwerere kabisa.
 
Yale yale tu, sahizi washaanza kumgeuka wapuuzi wale walioanza kwa mbwembwe...Mama anaupiga mwingi, mama mitano tena, mama tumpe umalikia yani Chadema ni kama watoto wadogo ukimnyima biskuti asioze meno anakuona adui!
Nakuonaga mpolee kumbe unajua kudemka namna hii!. jana usiku ulikunywa nini ukaamka nacho kichwani?!
 
Kwa hiyo MBOWE akisema HAPANA ndio anawasemea WATANZANIA WOTE?!!!

Hapana yake ni ya KIJINGA TU.....walisema HAPANA....na hawakutokea pale UBUNGO.....asimbabaishe mtu bana....

#KaziInaendelea

yaaani we jamaa unawaza kama PHD mmoja mkubwa ivi, umetisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…