Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

we ndiyo chizi kabisa unaleta ubishi wa kitoto kumbe
unawashwa wapi vilee...
mambo za CDM hazikuhusu we pambana na huko lumumba na MEKO mliekuwa mnamtegemea ndio harudi kabisaaa na mama kesha sema anasafisha taka zote za MEKO wenu ili mambo yawe muruaaa. ...mae
 
Sijasema Katiba,nimemaanisha shughuli nyingine za kisiasa ambazo ni haki za kikatiba!Tujenge uchumi lakini pia na mbo mengine yaendelee!
Shughuli za kisiasa ni wazi hazina madhara yyte kwenye uchumi, ni vile tu anamuonea aibu marehemu
 
Lisu na Lema wanapakatwa na Amsterdam ili tu aendelee kuishi kwa raha uzunguni
 
Tehe tehe mlijisahaulisha kwamba Samia alikua VP na anatoka ccm
 
Lakini kwanini hukumu kama hizo zinatoka awamu hii?mbona awamu iliyopita hazikutoka kwani ushahidi kama huo haukuepo au majaji hawakuwepo?
 
Rais SSH ,mikutano ya hadhara sio hisani yako wala ya chama chako. Na hauna mamlaka ya kuamua tufanye ama tusifanye. Labda kama unataka kutuambia kuwa unataka kuongoza taifa kiimla kama mlivyofanya na mtangulizi wako. Magufuli alianza vizuri akavuruga baadaye kama wewe.
 

 
Baada ya maongezi ya RJMT na wahariri wa vyombo vya habari jana Juni 28, 2021 naona CHADEMA wamedemka kweli kweli. Lakini kwa maneno yao wenyewe wametuambia sasa wanaenda kidigitali kwa maana kuwa hawana haja ya siasa za uso kwa uso au ana kwa ana.

Lakini kwa kudemka huku ina maana moja tu CHADEMA bado wako kwenye siasa za mikutano ya hadhara tena kwenye kona sawa sawa na wale wechezesha karata za kekundu na keusi.

Bado wana mwendo mrefu
 
Unataka kuwa mhuni?

Basi Nenda Chadema.

Kiila ukifanya upumbavu, utaambiwa wewe ni Mandela wa pili Africa,

Ukivuta bange ukabahatika kumtukana Raisi, basi hapo wewe ni shujaa kama Mandela
 
Wewe ndio huelewi, mambo makubwa kama haya yanahitaji akili kubwa kuyaelewa.
 
Kule Misri kuna RAIS aiitwaye EL SISI....huyo asingechezewa na hawa akina Mbowe.

EL SISI amewaweza nduguze MUSLIM BROTHERHOOD.
Waliposhindwa kumuua Ethiopia, aliwanyoosha mpaka wameita pooo. Hawa waja sio wakuwaendekeza. Watanzania tunataka maendeleo. Tunataka fursa sawa kwa wananchi wote. Wao wanataka madaraka tu
 
She has declared: "Mimi na Magufuli ni kitu moja". So, there is no surprise at all. "ninapayuka tena: KATIBA MPYA!!!?"
 
Hapa katiba mpya inahitajika,sio rais unashuriwa tu na mashoga zako unatoa kauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…