Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Mama alikuwa sehemu ya mfumo hivyo anachofanya sasa ni kuuma na kupuliza ili kutengeneza reputation yake vizuri ila kwa wenye maono huyu Mama ni wale wale.Kitu ambacho si sawa hata kidogo hao ni wahalifu wanastahili kufukuzwa kazi mara moja na kufunguliwa mashtaka kwa uhuni walioufanya lakini mama anahofia anajua litakuwa balaa ambalo litamgusa na yeye moja kwa moja. Mbona ulikuwa kimya ulipokuwa VP? Hii miezi mitatu ya wewe kuwa madarakani umewezaje kujua kesi zote hizo zilikuwa ni FAKE hivyo umeamua kuzifuta ndani ya miezi mitatu tu?